Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,236
- 14,979
- Thread starter
- #21
Yuko shule ya msingi Mbuyuni analitumikia Taifa...Anawafundisha watoto...
Kipi bora...Kukaa shuleni na kuwafundisha watoto wetu ama kuzunguka mikoani kutafuta kura?...
Inamaana Miezi miwili hii atakua akiwapiga akina Linah, Wema-Sepetu na Zari