Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio.
Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote!
Wadau mbalimbali wametoa maoni yao ya moyoni juu ya kutekwa kwa MO lakini zaidi ni kutoka kwa watu wa kawaida, wanasiasa mbalimbali na viongozi wa serikali!
Lakini kuna kundi la watu wachache ambao ni washindani wa MO, hawajasikika wakisema chochote juu ya hili tukio!
Mabilionea wenzake MO kama Mengi, Bakhresa,Mafuruki, Rostam n.k hawajasikika wakisema chochote au kukemea hili hadi hivi sasa, kulikoni...!
Hawa watu ni washindani kibiashara na kwamba inapokea mmoja anapata tatizo kama hili basi ni vyema wakaweka tofauti zao pembeni za kishindani na kuungana!
Imemtokea MO, je anayefuata anajijua ni nani?
Ni vyema wakati huu wakatoa walao kauli ya pamoja na kuonyesha wameguswa na hili jambo kwa kuwa ni tayari matajiri wengine wameshakutwa na mikasa kama Zakaria n.k!
Mabilionea tumeamua kukaa kimya tungoje muongozo was serikali. Nimempigia salim bakhresa kaniambia tunyamaze kwanza kungoja muongozo.
Basi hawajasema kitu. Yaishe.Kwani polisi wamesema nini mkuu ?
Hahahaaaaaaa.... JF nakupenda kweli.Tunasubir vyombo vya dola vikamilishe kazi yao,maana katika wazungu wawili tayar kashakamatwa mmoja bado mmoja!!haji manara pole sana
Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio.
Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote!
Wadau mbalimbali wametoa maoni yao ya moyoni juu ya kutekwa kwa MO lakini zaidi ni kutoka kwa watu wa kawaida, wanasiasa mbalimbali na viongozi wa serikali!
Lakini kuna kundi la watu wachache ambao ni washindani wa MO, hawajasikika wakisema chochote juu ya hili tukio!
Mabilionea wenzake MO kama Mengi, Bakhresa,Mafuruki, Rostam n.k hawajasikika wakisema chochote au kukemea hili hadi hivi sasa, kulikoni...!
Hawa watu ni washindani kibiashara na kwamba inapokea mmoja anapata tatizo kama hili basi ni vyema wakaweka tofauti zao pembeni za kishindani na kuungana!
Imemtokea MO, je anayefuata anajijua ni nani?
Ni vyema wakati huu wakatoa walao kauli ya pamoja na kuonyesha wameguswa na hili jambo kwa kuwa ni tayari matajiri wengine wameshakutwa na mikasa kama Zakaria n.k!
Kila mtu atabeba msalaba wake,na kila mtu anapambana na hali yake,wewe ulitaka waseme nini na je wakishasema ndio iweje,wewe umesema je kuna matokeo yoyote?Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio.
Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote!
Wadau mbalimbali wametoa maoni yao ya moyoni juu ya kutekwa kwa MO lakini zaidi ni kutoka kwa watu wa kawaida, wanasiasa mbalimbali na viongozi wa serikali!
Lakini kuna kundi la watu wachache ambao ni washindani wa MO, hawajasikika wakisema chochote juu ya hili tukio!
Mabilionea wenzake MO kama Mengi, Bakhresa,Mafuruki, Rostam n.k hawajasikika wakisema chochote au kukemea hili hadi hivi sasa, kulikoni...!
Hawa watu ni washindani kibiashara na kwamba inapokea mmoja anapata tatizo kama hili basi ni vyema wakaweka tofauti zao pembeni za kishindani na kuungana!
Imemtokea MO, je anayefuata anajijua ni nani?
Ni vyema wakati huu wakatoa walao kauli ya pamoja na kuonyesha wameguswa na hili jambo kwa kuwa ni tayari matajiri wengine wameshakutwa na mikasa kama Zakaria n.k!
Nakupigia bilionea mwenzangu.Mbona mm hujanipigia!
Karibu sanaNakuja kumtolea posa mwanaidi ili na mimi niwe mmojawapo kutoka familia ya bilionea
Waseme nini wakati bashite amezuia watu kusemaWatasema nini wao ngoja wawe kimya.