Ukimya wa Mabilionea hawa kulikoni!

Ukimya wa Mabilionea hawa kulikoni!

Watasema nini wakati Jiwe ameshasema wajiandae kuishi kama mashetani, wa kwanza huyo ameanza wengine wanasubiria, amakweli Jiwe roho mbaya itakuua.
Magufuli aliwahi kutamka hadharani kwamba katika awamu yake mfanyabiashara atafanywa chochote.
 
Useme ili unyanyuliwe???Wamesoma alama za nyakati
 
Mmh lengo lao tusahau kwa muda.maneno anayoshusha Dr Bashiru against ccm,,, ahaaaa nshajuaaa
 
Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio.
Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote!
Wadau mbalimbali wametoa maoni yao ya moyoni juu ya kutekwa kwa MO lakini zaidi ni kutoka kwa watu wa kawaida, wanasiasa mbalimbali na viongozi wa serikali!
Lakini kuna kundi la watu wachache ambao ni washindani wa MO, hawajasikika wakisema chochote juu ya hili tukio!
Mabilionea wenzake MO kama Mengi, Bakhresa,Mafuruki, Rostam n.k hawajasikika wakisema chochote au kukemea hili hadi hivi sasa, kulikoni...!
Hawa watu ni washindani kibiashara na kwamba inapokea mmoja anapata tatizo kama hili basi ni vyema wakaweka tofauti zao pembeni za kishindani na kuungana!
Imemtokea MO, je anayefuata anajijua ni nani?
Ni vyema wakati huu wakatoa walao kauli ya pamoja na kuonyesha wameguswa na hili jambo kwa kuwa ni tayari matajiri wengine wameshakutwa na mikasa kama Zakaria n.k!
Wako kimya wakitafakari kesho yao.
 
At a majanga ya kitaifa tu hua hawatoi matamko yyte, kama mauaji ya kibiti, MV nyere nk, itakua ilo La kumuhusu MTU m1
 
Hivi familia ya Mo yenyewe imeshazungumza chochote? Ingekuwa hawa wapiga kabobo hadi shangazi zake mtekwaji tungeshawafahamu.Muda ukifika watazungumza,pengine kupitia majukwaa yao na siyo kila mmoja aongee.
 
Tunasubir vyombo vya dola vikamilishe kazi yao,maana katika wazungu wawili tayar kashakamatwa mmoja bado mmoja!!haji manara pole sana
 
Mabilionea huwa hatuna maneno mengi sana..
Jana jioni nimempigia simu IGP akasema wanalishugulikia hili jambo kadri ya uwezo wao wakishindwa itabidi niende US embassy kuwaomba CIA waje kufanya yao.

Mabilionea hatuna showoff za kweye tv na social media
 
Wanaoitwa mabilionea nchini tanzania mara zote wapo kimya. Hata huyo MO siku zote alikuwa kimya pamoja na kufahamu madhira yanayowakuta watanzania wengine.
Kwa sasa tumejenga matabaka ya kuchagua watu wa kuwatetea. Alivyotekwa Ben Sanane hakuonekana mbunge au kiongozi yeyote wa CCM au tajiri hata mmoja aliyekemea kitendo hicho lakini kilivyotokea kwa MO kila mmoja anajifanya ana roho ya ubinadamu.

Watanzania tukiendelea na tabia hii ya unafki tutaendelea kupata tabu sana.
nasema yye ni binadamu kama wengine hata asipo patikana sawa! lisu aliposhambuliwa tuliambiwa dereva anatafutwa ! huyu mbona dereva hakamatwi? mungu hamfichi mnafiki siku zote
 
Wanaoitwa mabilionea nchini tanzania mara zote wapo kimya. Hata huyo MO siku zote alikuwa kimya pamoja na kufahamu madhira yanayowakuta watanzania wengine.
Kwa sasa tumejenga matabaka ya kuchagua watu wa kuwatetea. Alivyotekwa Ben Sanane hakuonekana mbunge au kiongozi yeyote wa CCM au tajiri hata mmoja aliyekemea kitendo hicho lakini kilivyotokea kwa MO kila mmoja anajifanya ana roho ya ubinadamu.

Watanzania tukiendelea na tabia hii ya unafki tutaendelea kupata tabu sana.
Ni hulka yetu kila MTU kulia kivyake kwa wakati wake,walianza wanafunzi wa Udom, wakaja Watumishi,wa kimara, matajiri, Kazi ya nyoka ni kugonga hadi akikosa cha kugonga, nadhani wafuatao ni wale wanaowashwa washwa pale haswaa ndo inatakiwa awasomeshe no haswaaa,ajawagusa kabisa
 
Hivi familia ya Mo yenyewe imeshazungumza chochote? Ingekuwa hawa wapiga kabobo hadi shangazi zake mtekwaji tungeshawafahamu.Muda ukifika watazungumza,pengine kupitia majukwaa yao na siyo kila mmoja aongee.
Kwani hawaogopi noah
 
Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio.
Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote!
Wadau mbalimbali wametoa maoni yao ya moyoni juu ya kutekwa kwa MO lakini zaidi ni kutoka kwa watu wa kawaida, wanasiasa mbalimbali na viongozi wa serikali!
Lakini kuna kundi la watu wachache ambao ni washindani wa MO, hawajasikika wakisema chochote juu ya hili tukio!
Mabilionea wenzake MO kama Mengi, Bakhresa,Mafuruki, Rostam n.k hawajasikika wakisema chochote au kukemea hili hadi hivi sasa, kulikoni...!
Hawa watu ni washindani kibiashara na kwamba inapokea mmoja anapata tatizo kama hili basi ni vyema wakaweka tofauti zao pembeni za kishindani na kuungana!
Imemtokea MO, je anayefuata anajijua ni nani?
Ni vyema wakati huu wakatoa walao kauli ya pamoja na kuonyesha wameguswa na hili jambo kwa kuwa ni tayari matajiri wengine wameshakutwa na mikasa kama Zakaria n.k!
Pole kaka wazo lako ni la kimaskini mnoo...
Wenye pesa hawana kelele za kifala
 
Mkuu umemsahau Manji apo
 
Sio ajabu washasema, maana huenda nao wanatumia ID feki humu JF.
Humu kuna watu wa kila aina.Si ajabu hata Jiwe mwenyewe yumo na ID yake feki anajitutumua na kuanzisha mada na unachangia.
 
Kibali cha kusema hakijatoka,wamuulize Haji Manala amesema bila kibali kawekwa ndani
 
Back
Top Bottom