Ukimya wa Mabilionea hawa kulikoni!

Ukimya wa Mabilionea hawa kulikoni!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,180
Reaction score
24,798
Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio.

Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote!

Wadau mbalimbali wametoa maoni yao ya moyoni juu ya kutekwa kwa MO lakini zaidi ni kutoka kwa watu wa kawaida, wanasiasa mbalimbali na viongozi wa serikali!

Lakini kuna kundi la watu wachache ambao ni washindani wa MO, hawajasikika wakisema chochote juu ya hili tukio!

Mabilionea wenzake MO kama Mengi, Bakhresa,Mafuruki, Rostam n.k hawajasikika wakisema chochote au kukemea hili hadi hivi sasa, kulikoni...!

Hawa watu ni washindani kibiashara na kwamba inapokea mmoja anapata tatizo kama hili basi ni vyema wakaweka tofauti zao pembeni za kishindani na kuungana!

Imemtokea MO, je anayefuata anajijua ni nani?

Ni vyema wakati huu wakatoa walao kauli ya pamoja na kuonyesha wameguswa na hili jambo kwa kuwa ni tayari matajiri wengine wameshakutwa na mikasa kama Zakaria n.k!
 
Tuko busy na biashara zetu ulitaka Nani mwingine asimamie huku sisi tukipoteza muda
 
Hahaha! Mkuu watakuwa wanasoma ramani kwanza kama sisi tu.
 
Tunaogopa watatuuliza hela zenu mnaweka Benki za hapa ndani au za nje...
 
Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio.
Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote!
Wadau mbalimbali wametoa maoni yao ya moyoni juu ya kutekwa kwa MO lakini zaidi ni kutoka kwa watu wa kawaida, wanasiasa mbalimbali na viongozi wa serikali!
Lakini kuna kundi la watu wachache ambao ni washindani wa MO, hawajasikika wakisema chochote juu ya hili tukio!
Mabilionea wenzake MO kama Mengi, Bakhresa,Mafuruki, Rostam n.k hawajasikika wakisema chochote au kukemea hili hadi hivi sasa, kulikoni...!
Hawa watu ni washindani kibiashara na kwamba inapokea mmoja anapata tatizo kama hili basi ni vyema wakaweka tofauti zao pembeni za kishindani na kuungana!
Imemtokea MO, je anayefuata anajijua ni nani?
Ni vyema wakati huu wakatoa walao kauli ya pamoja na kuonyesha wameguswa na hili jambo kwa kuwa ni tayari matajiri wengine wameshakutwa na mikasa kama Zakaria n.k!
Vita ya panzi.......
Adui wa adui yako ni.....
 
Wanaoitwa mabilionea nchini tanzania mara zote wapo kimya. Hata huyo MO siku zote alikuwa kimya pamoja na kufahamu madhira yanayowakuta watanzania wengine.
Kwa sasa tumejenga matabaka ya kuchagua watu wa kuwatetea. Alivyotekwa Ben Sanane hakuonekana mbunge au kiongozi yeyote wa CCM au tajiri hata mmoja aliyekemea kitendo hicho lakini kilivyotokea kwa MO kila mmoja anajifanya ana roho ya ubinadamu.

Watanzania tukiendelea na tabia hii ya unafki tutaendelea kupata tabu sana.
 
Baba anateka familia yake.Afu Anajifanya kuumizwa na kuanza kuwatafuta waliotekwa. Mashekhee tamgazen albadili nchi nzima mtawajua tu waliomteka Mo kwa kauli zao kama ilivyokuwa kwa Lisu. Kitulacho sio mzungu ndugu zetu wa kanda ya maziwa
 
Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio.
Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote!
Wadau mbalimbali wametoa maoni yao ya moyoni juu ya kutekwa kwa MO lakini zaidi ni kutoka kwa watu wa kawaida, wanasiasa mbalimbali na viongozi wa serikali!
Lakini kuna kundi la watu wachache ambao ni washindani wa MO, hawajasikika wakisema chochote juu ya hili tukio!
Mabilionea wenzake MO kama Mengi, Bakhresa,Mafuruki, Rostam n.k hawajasikika wakisema chochote au kukemea hili hadi hivi sasa, kulikoni...!
Hawa watu ni washindani kibiashara na kwamba inapokea mmoja anapata tatizo kama hili basi ni vyema wakaweka tofauti zao pembeni za kishindani na kuungana!
Imemtokea MO, je anayefuata anajijua ni nani?
Ni vyema wakati huu wakatoa walao kauli ya pamoja na kuonyesha wameguswa na hili jambo kwa kuwa ni tayari matajiri wengine wameshakutwa na mikasa kama Zakaria n.k!
Wenzako wanatafuta pesa
 
Back
Top Bottom