Ukimya wa Lowassa unaitesa CCM na UKAWA

Mtu anapo jenga hoja nivyema akajibiwa kwa hoja sivyema hoja ikajibiwa kwa kulalama.
Unapolalamika na kuhisi unaonewa unapunguza uwezo wa kifikira na kungamua mambo.
Nahili ndio tatizo nililo liseama huko nyuma.

Sasa wewe ulijenga hoja gani?
Haya ndiyo mambo alikuwa anasema mwalimu kama kuwa mpumbavu ni kipaji,nikama kuwa mtu mfupi.Kama wewe ni mpumbavu basi ni mpumbavu tu kwasababu ulizaliwa hivyo.

Hauna hoja yoyote uliyojenga na hilo ni jambo moja,tatizo ni wewe kushindwa kuona kama hauna hoja.Hapa kwakweli siwezi kukusaidia, this is intuition,kama huna basi huna tu na hakuna namna nyingine.
 


Nilipoona heading ya ya uzi wako nikawa na shauku ya kusoma ....kumbe bado yaleyale....hivi kwann hamuachi majungu?
 

Huwezi kujua na hutojua nini hoja yangu.
Maneno ya mwalimu jkn umeyanakili vyema kwa kuwa yanagusa tabia na akili ndogo ulizo nazo.
Na hunabudi kuzingatia vyema huo usemi wa mwalimu.
Ndio nyie mulio muita Sumai mr 0 baadae mukarudi mukamuita mr gold ndio nyie mulie ibuwa neno fisadi nadio nyie mulie tuaminisha kuwa luwasa ni fisadi papa.
Mukarudi mukatumbia luwasa ni mtu msafi kupita maelezo na nimtu anaeweza kuwakomboa wtz ktk matatizo yao.
Huo ndio muonekano wenu na ndio hapo mwalimu alipo sema mpumbavu ni mpumbavu.
Na ndio mzee mkapa akakazia huo msemo mukasema mzee mkapa kawatusi.
Badilikeni acheni upumbavu tz inaendelea kusonga mbele ktk uwongozi wa viongozi wa ccm....
HAPA KAZI TU...
 
...na wewe unausemea moyo wa nani?!

. Mwandika mada kakosea kutusemea na sisi....kama lowass nilimktaa tangu ccm mpaka chadema na ghadhabu ikajaa juu yake....nikamchinja na kichinjio changu....iweje akae kimya nihumie?
 

Oh! Mungu wangu!
Anyway,nashukuru kwa hii sms yako,imenionyesha nadeal ni mtu wa namna gani, pole sana ndugu yangu!

Ila sielewi,unakuwaje na mwandiko mmbaya mpaka kwenye sms?
Ungekuwa unatumia kalamu ningeelewa kwamba ni tatizo la kukosa elimu la kawaida kwa Tanzania.Sasa simu si ina button unazobonyeza tu!

Waiii! haya bana,we endelea na shughuli nyingine tu,au fanya siasa kwa mdomo,usiandike tena aisee,ni aibu!
 
Labda nyie mliodeki barabara ndo mnaumizwa na ukimya wake.
 
acha kujifanya mwanasaikolojia wakati unaandika mambo ambayo mwenyewe huyaelewi, usifikiri uwezo wa kuelewa na kupambanua mambo unaujua wewe mwenyewe tu, sote tuna akili na uwezo wa kuchambua mambo. Narudia kukuambia kuwa na kauli stahiki acha kudharau jamii nyingine.
 
Taifa lipi au la nyumbani kwako. Si juzi tu kaongea. Hebu mkafanye kazi nyie badala ya kuendekeza upuuzi. Kwani akiongea ndio utapata mlo. Kweli lofa ktk ubora
 

Jamii gani nilioidharau?
 
Ukimya Lowassa, Lowassa Ukimya.

Nakipenda kibwagizo hiki.
 
Huyu mzee wau wamemdanganya wamempiga hela hadi kachanganyikiwa! naskia hata chadema wamemtelekeza kama dampo, wote wamewahi kujiandikisha Dodoma tangu tarehe 01 November walivyo na usongo na Pesa
 

Lowasa is now a none issue. He is a spent force destined for the dustbin. SISI NI KAZI TU!
 
akae kimya kusubiri ile mahakama...
 

Fikiri Kabla hujaropoka. Kwani ukimya wa Lowassa hautunyimi usingizi. Dr. Slaa alinyamaza na mwishowe alizungumza na maisha yanaendelea. Who is Lowassa anyway!!!!!!! Ni mtu tu Kama wengine akinyamaza maisha yanasonga akiongea maisha yanasonga. Hata hivyo apumzike asijemaliza uzee wake vibaya na stress. Wanaotaka hela sake na waliokula hela zake ndo hawana usingizi wanaumia. Mie nimefurahiiiiii saaaaaaaana tu kumpata magufuli. Yaani kwa sasa nalala mpaka wife ananiamusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…