Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Nani ampe Urais Lowasa? Labda kama Watanzania wote watakuwa mataahira
Siku nyingine usije tena na akili kama za Aunt Ezekiel na Nyalandu humu tafadhaliNani ampe Urais Lowasa? Labda kama Watanzania wote watakuwa mataahira
WE UTAPIGA KURA ngapi
Hiyo ripoti unayo mkuu ili utusaidie? Mwenye kujua ripoti yake ni yeye mwenyewe au mke wake therefore kwa kuwa wewe sio mwenyewe basi inaonekana ni mke wakeKuna ripoti ya Madaktari wanaomtibu ambayo inaonesha kuwa Lowasa hawezi hata kukimbia mita 10
Silence miens yes.Ukimya ndio dawa ya kila kitu,...kuna waziri moja (Nyalandu) kapigwa siku mbili tu ya tatu akafunguka kuhusu Aunt Ezekiel sasa lowassa tokea 1995 anapigwa tu na bado yuko imara, kwa kweli tanzania tunataka kiongozi anayeweza kuweka mambo makubwa na madogo katika vifua...
Huko umeenda mbali. Chukulia Lowasa ni Rais wa nchi, huku anatakiwa kimataifa na ndani ya nchi ziara zinamngoja, na kuna hafla kibao za kitaifa. Nadhani tutakuwa na Rais kama Michael Satta wa Zambia
Kuna siku niliwaza juu ya Afya ya EL. na kujiuliza "Hivi EL angekuwa chama cha upinzani kama kina Dr. Slaa,Mboe au Lissu si tungekwisha msahau. Mana nikiangalia jinsi Makamanda wanavyopambanaga na polisiccm, na jinsi EL watu wanavyodai kuwa hawezi kukimbia ata mita10 sijui ingekuaje.
Kuna ripoti ya Madaktari wanaomtibu ambayo inaonesha kuwa Lowasa hawezi hata kukimbia mita 10
Yes yes yesSilence miens yes.
Anaitwa fisadi- Kimya.
Hawezi kuzunguka uwanja wa taifa ata raundi moja- Kimya.
Afya mgogoro- Kimya.
Wote Lowasa na Nchimbi ni wale wale tu. hawana jipyaNi afadhali Lowassa mgonjwa kuliko Nchimbi unayemtaka.
Fisadi Lowasa ni janga la taifakukaa kimya ni jibu la mjinga,usione kobe kainama ujue anatunga sheria,vivile kimya kina mshindo mkubwa.big up muheshimiwa rais edward lowasa kwa ukimya wako.