Ukimya wa jk na mgao wa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukimya wa jk na mgao wa umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bandubandu, Feb 9, 2011.

 1. b

  bandubandu Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Kusema kweli ndg zangu wana jf leo nami nimeshindwa kuvumilia kuhusu hili la mgao wa umeme,maana naona mkuu wa nchi this time ameamua kunyamaza kimya na hatuoni tena yale makeke au mbwembwe zile za mwaka 2005 alipoingia madarakani na hatua za dharura kutuokoa ktk mgao mkali wa umeme mwaka huo,au madudu yale waliyoyafanya kwenye issue ya rich wa monduli na dowans ndio inaweza kuwa sababu kuu?hapa ndipo unapoweza kuuona unafiki wa viongozi wetu,mara zote wamekuwa ni watu ambao wanatudanganya lkn linapokuja t
   
 2. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Haya ni mambo ya aibu wa utawala kukaa kimya huku wateja wakiathirika. Nashindwa kuelewa ni kwanini mpaka hakuna utaratibu wa mawasiliano ya mara kwa mara baina ya Tanesco au wizara husika na wateja wake. Ningetegemea ya kwamba kutokana na uzito wa tatizo hili kungekuwa na angalau mtu ambaye anngekuwa anatupa sisi wananchi ripoti ya kila wiki ya jitihada zao za kuhakikisha mgao unakwisha.

  Kitu kinachonihuzunisha zaidi ni kwamba matatizo haya ya umeme hayana timeline ya ukomo, hatujui ni lini tutaacha kukaa gizani. Wizara na Tanesco ni sharti wawajibishwe kwa hili, tumechoka kulea uozo. Hili si ombi ni dai, tunalipia umeme bwana ni haki yetu kuupata!
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Atasema hata yeye hajui kwa nini kuna mgao wa umeme.
   
Loading...