Kifupi ni kwamba Mungu huwa hafanyi mambo mabaya, siku zote Yeye hufanya mambo mazuri na watu ndio hutafsiri kwa fikra zao au zetu mbaya kwamba Mungu kafanya vibaya linapotokea jambo tusilokipenda.
Sasa, kwa maoni yako, kama Mungu kafanya jambo zuri kwa kutuchagulia JPM naomba tuletee uthibitisho hapa tuuone ili tuamini hicho unachosema.