Ukimya wa Bernard Membe

Mungu hakushindwa kumfanya ashindwe! Mungu hajawahi shindwa lolote.

Basi tuitii mamlaka

Enzi Elbashir, Mugabe, Gaddaf nk wanashinda uchaguzi kwa umafia, wapambe wao walikuwa wanasema wao ni machaguo ya Mungu, na sifa nyingine kama hizo. Leo hii pitia kilichotokea kwenye tawala zao ndio utajua hizi sifa za kijinga kwa jiwe ni za muda tu.
 
2025 mtamuona, Team membe na team lowesa. Team january, niswala la mda tu. Kila team itakuwa inapanga mgombea wake.
 
Kifupi ni kwamba Mungu huwa hafanyi mambo mabaya, siku zote Yeye hufanya mambo mazuri na watu ndio hutafsiri kwa fikra zao au zetu mbaya kwamba Mungu kafanya vibaya linapotokea jambo tusilokipenda.

Sasa, kwa maoni yako, kama Mungu kafanya jambo zuri kwa kutuchagulia JPM naomba tuletee uthibitisho hapa tuuone ili tuamini hicho unachosema.
Kumbe hujui vile Mungu hufanya kazi zake!?

Enzi Elbashir, Mugabe, Gaddaf nk wanashinda uchaguzi kwa umafia, wapambe wao walikuwa wanasema wao ni machaguo ya Mungu, na sifa nyingine kama hizo. Leo hii pitia kilichotokea kwenye tawala zao ndio utajua hizi sifa za kijinga kwa jiwe ni za muda tu.

Hata wakati Samson anaenda kuoa kwa wafilisti hakueleweka ila ni sababu njia za Mungu sio sawa na za wanadamu

"Wazazi wake hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti. Wakati huo, Wafilisti waliwatawala Waisraeli."

Waamuzi 14:4
 
Kimya mzee wa watu!

Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.

Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.

Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.

Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
Mwogope Membe! Mwembe is the winner, he will always win. Embu jiulize: tundulissu yuko wapi? Sugu yuko wapi? Mbowe yuko wapi? Zittokabwe yuko wapi? Jibu ni Katherine nambariwani. Once a kachero, always a kachero. Haijatojea Chadema kupata kiti kimoja Tanzania Bara, tena nje ya maeneo yake, wala si mdogomtu au mshikaji. CUF wako wapi? Baada ya kufukuziliwa mbali na Professor Lipumba wakanunua ACT, ikawa wote wawili waneanguka chini pu! Mwogope Membe! Mwembe is the winner, he will always win.
 
Kumbe hujui vile Mungu hufanya kazi zake!?

Hata wakati Samson anaenda kuoa kwa wafilisti hakueleweka ila ni sababu njia za Mungu sio sawa na za wanadamu

"Wazazi wake hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti. Wakati huo, Wafilisti waliwatawala Waisraeli."

Waamuzi 14:4

Nieleweshe jinsi hizo nguvu za Mungu zilivyofanya kazi hadi mnadai kwamba JPM ni chaguo la Mungu.

Kwanini mnashindwa kunipa uthibitisho wa hicho mnachoamini??!

Ipo hivi; kama mngesema viongozi wote wakuu wa nchi duniani ni chaguo la Mungu hapo nisingekuwa na hoja, mnaposema JPM ni chaguo la Mungu hapo maana yake ni kwamba kuna viongozi wa nchi zingine sio chaguo la Mungu na ndio maana naomba mnipe uthibitisho wa JPM kuwa Chaguo la Mungu, yaani huyu Mungu wetu alifanyaje na akamchagua JPM wakati (kwa maoni yenu) wapo viongozi wengine wa nchi sio chaguo la Mungu.

Mbona swali ni rahisi sana.
 
Moja ya sifa za kiongozi makini ni kutokujionesha kila mara kuuza pua ili utamaniwe unavyotamani kumsikia Membe leo.
 
Dah jamaa alisema atafunga goal dakika ya mwisho sijui ndo kafungwa yeye maana yuko kimya sana na goal lenyewe hajafunga.
 
Huyu kuja ku-make headline tena labda siku atakayo umaliza mwendo.

"Kachero kacharara"😁
 
Kimya mzee wa watu!

Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.

Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.

Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.

Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
jitombashisho.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom