Watanzania tuendelee kuchapa kazi ....#Hapakazitu.
Kwani tumeacha?Watanzania tuendelee kuchapa kazi ....#Hapakazitu.
Hata Mungu huwa hapendwi na wafuasi wa Shetani!Mimi nilikuwa najua chuma/jiwe hakiwezi pitia changamoto kama hizi, nafikiri kama ikiwa kweli na akifanikiwa kutoka sakama itabidi afanye analysis vyote anavyofanya ni vipi vinatengeneza chuki. Maana inaonesha watu wanasubiri mwisho mbaya
Wewe ndiye uliyesoma kwa taharuki,mashaka na wasiwasi
Hata mkikaa kimya, uvundo utawaumbuaWatanzania tuendelee kuchapa kazi ....#Hapakazitu.
Matendo ya shetani ni kuua, kuharibu, na kuchinja.Hata Mungu huwa hapendwi na wafuasi wa Shetani!
Here Job Only.Watanzania tuendelee kuchapa kazi ....#Hapakazitu.
Hata Mungu huwa hapendwi na wafuasi wa Shetani!
Hata JK alisubiriwa mwisho mbaya. Sisi ni watanzania, usisumbue akili yako.Mimi nilikuwa najua chuma/jiwe hakiwezi pitia changamoto kama hizi, nafikiri kama ikiwa kweli na akifanikiwa kutoka sakama itabidi afanye analysis vyote anavyofanya ni vipi vinatengeneza chuki. Maana inaonesha watu wanasubiri mwisho mbaya
Mkuu hujasomo hiyo ID yake hilo ni jingalaoMbona umeandika kwa taharuki, mashaka na wasiwasi mkubwa hivyo??
Hata JK alisubiriwa mwisho mbaya. Sisi ni watanzania, usisumbue akili yako.
Mwanadamu yeyeto ujitengenezea mwisho wake.Mimi nilikuwa najua chuma/jiwe hakiwezi pitia changamoto kama hizi, nafikiri kama ikiwa kweli na akifanikiwa kutoka sakama itabidi afanye analysis vyote anavyofanya ni vipi vinatengeneza chuki. Maana inaonesha watu wanasubiri mwisho mbaya