KWETU PAZURI
Senior Member
- Oct 14, 2011
- 161
- 26
Jf doctor, inachukua muda gani kwa mtu aliambukizwa HIV kuanza kupata effect za ugonjwa?
una maanisha attack gani? ya ugonjwa au?2 to 5 years but kama unapata leo baada ya siku 90 lazima upate attack kubwa