God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Kuna ndugu yangu wa karibu juzi kafunguka kwamba anatumia ARV yan hapa sina hamu hata kidogo na wanawake...sired kama hizi nikiingiaga JF huwa nahamu nisitoke asante mkuu,, maana hil gonjwa linatisha mpaka limenifanya niwe mbali na jinsia ingine maana kila aliekuzunguka anahemea ARV,,,,...
Uuuepuke....naogopa ukimw
Stigmatisation at his highest stage.KKuna mzungu mmoja tulikuwa nae pori akaja mdogo wake kutoka south halafu akatuambia " my young bro is hiv + please i want you to show love to him" weeeeee nikajisemea rohoni nyokoooo huyu mzungu msengreeeee nini yaani mi ni socialize na mtu mwenye ukimwi? Nikasema hapa ndo bongo unyanyapaa mwanzo mwisho... We una ukimwi usinisogeleee.
sired kama hizi nikiingiaga JF huwa nahamu nisitoke asante mkuu,, maana hil gonjwa linatisha mpaka limenifanya niwe mbali na jinsia ingine maana kila aliekuzunguka anahemea ARV,,,,...
Kuna ndugu yangu wa karibu juzi kafunguka kwamba anatumia ARV yan hapa sina hamu hata kidogo na wanawake...
MBONA HUELEWEKI?Ngono zimetawala mno vichwani mwa watu wakubwa kwa wadogo wengi wanaangamia kweli UKIMWI umeteketeze dunia. Mapenzi mapenzi jamani, usaliti katika ndoa, ajali, starehe na tamaa za hii dunia zinatumaliza, ukosefu wa maarifa na dhambi ni adhabu kwetu. Mshahara wa dhambi ni mauti, chuki na visasi aaaah ndugu tusameheane yaishe.
Tuwe na kiasi pia turidhike na tulichopewa/tafuta/barikiwa maisha ni kuridhika. Wangapi wamekufa wakaacha mambo ya dunia hii? Vishawishi na vishindwe kwa jina la Mwenyezi-Mungu daima tuvitawale pamoja na hisia. Kwa kujiweka salama tujilinde wenyewe tumkabidhi Mungu wetu maisha yetu kwa kila hatua tunayofanya.
Ushauri wangu kwenu wana MMU.