Kanali mwime
Member
- May 5, 2018
- 71
- 171
Kumbe hata wazungu wanapata shidaMarekani,Afrika Kusini,India ndio kinala was ukimwi duniani
Huko ndio hatar mkuuKumbe hata wazungu wanapata shida
Marekani sio saw a na huku kwetu mkuuMarekani,Afrika Kusini,India ndio kinala was ukimwi duniani
Mkuu kwani condom si zipo?Au?Habali zenu wakuu Mimi bado nipo nakomaa na maisha ya huku bondeni japo magumu nayajua mwenyewe, ninachotaka kuwashitua wakuu ni kwamba hapa south watu wana UKIMWI sijawai kuona watu wameathilika Kama miji ya hapa bondeni, nimepima na wanawake 6 ili niwe nao kimapenzi cha ajabu wale 5 wana ngoma yaani wakuu naogopa hata kuchukua mizigo ya huku bola DAR wenye UKIMWI WACHACHE. NIWATAKIE MAISHA MEMA POLENI NA MAJUKUM
Mkuu wanawake Wa huku tofauti Sana na wakwetu tz unaweza jisahau ukaweka pekuMkuu kwani condom si zipo?Au?
Ni kweli mkuuChunga Babu nyota yako inaonyesha inataka kuchafuka ,funga zipu mpaka urudi nyumbani.
Kali ni ile unarudi home unamega kwa pupa Mara Paaa ,alafu aliye kuambukiza ni choka mbaya mwenzio Wakati huko umewakataa wanao eleweka(ni utani)
What's threats today's world is Cancer, AIDS is just a pinch...
Asante kwa kutujulisha upo South Africa[emoji18]
FAFANUA HAPA KWANINI UJISAHAHU kwa wanawake wa huko? fafanua mkuu...Mkuu wanawake Wa huku tofauti Sana na wakwetu tz unaweza jisahau ukaweka peku