Wadau wikiendi hiyooooo inanyemelea,nawatakia UKIMWI mwema....!!
Wewe ni agent wa shetani nini!
Wadau wikiendi hiyooooo inanyemelea,nawatakia UKIMWI mwema....!!
Hivi wana jf wangapi wamepima wajitaje
Mm nilipima mara ya kwanza wakanambia nina hiv++ wakanambia nirudi kupima tena baada ya miezi 3 juzi nimepima tena ila majibu bado sijachukua sa sijui kama nnao au sina.
Mm nilipima mara ya kwanza wakanambia nina hiv++ wakanambia nirudi kupima tena baada ya miezi 3 juzi nimepima tena ila majibu bado sijachukua sa sijui kama nnao au sina.
Rafiki yangu Kinyesi cha ng'ombe rudi tu ukachukue majibu lol!
Mweeee !!!Mm nilipima mara ya kwanza wakanambia nina hiv++ wakanambia nirudi kupima tena baada ya miezi 3 juzi nimepima tena ila majibu bado sijachukua sa sijui kama nnao au sina.
Hivi wana jf wangapi wamepima wajitaje
Mweeee !!!
Hicho kipimo cha awali lazima kitakuwa cha mchina fake. Teh teh hata wenyewe hawakukisadiki ndo maana mana wakaamua urudie round ya pili.
Mimi siogopi majibu wala nini kwanza ukimwi wenyewe siuogopi ntayafata tu majibu yangu ngoja kdogo.Ww mwnzetu vp unalinga umepima.?
Sijapima mkuu,bado najipanga...lol!
Na sisi ambao tumeshaathirika unatuagaje?
arv njema
Nakushauri kapime mkuu.Kujua afya yako ni vizuri kuliko kutojua.