Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

Kufanya kosa A hakukupi ruhusa ya kufanya kosa B, vivyo hivyo kwa kosa C n.k. Kumuita mke au mchumba unayemuingilia Mama ni kosa na hata kikawaida tu ni utovu wa adabu kumfananisha yeye na Mama yako, watoto wako nao wamuiteje?
Dhambi ni dhambi tuu. Hakuna asiejua. Huyu anazini yule katukana kwa hyo kumuita mke mama usione ni dhambi exceptional wakati unaweza ukawa unanena uongo
 
Ni makosa makubwa sana kumwita mke "mama ngu."

Mke ukimwita mama, hupaswi kulala naye tena. Mama ni mama, na mke ni mke.

Jaribu kugeuza mama yako umwite "mke wangu" uone kitakachotokea.

Usifundishe watu ujinga na udondoa dume wako.
Mbona shingo imekusimama kwa mambo ambayo ni trivial? Mbona kawaida tu watu kuita wake zao 'mama'. Hiyo ni kama joke na some kind of respect hasa kwa watu wazima. Nina jirani yangu, mstaafu na alishawahi kuwa mtu mkubwa ktk serikali ya awamu ya kwanza na ya pili; yeye anamuita mke wake 'mama' na mke wake anaitikia 'baba', kwani shida i wapi? Na wale Wakenya wanaoita wake zao 'bibi'?
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Unaweza Mvika vyeo ambavyo hastahili na bado aikajiona yeye ndio mhusika.

Matumizi ya neno "Mama yangu"

Kama una mwanamke wako, muite/ ongea nae hivi utamuona anavyo chachawa

"Mambo vipi mama angu"
" Nimekumiss mama angu"
" Nikuletee nini mama angu"
" Utakuja saa ngapi mama angu"

Yani ukimuita mama angu anakuwa na feelings za ajabu sana anajiona yeye ni zaidi y a mama ako mzazi
Dunia itakua imehama njia
 
Back
Top Bottom