Ukimpenda toka moyoni...utamlinda

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098
Napingana kabisa na lile tangazo linalohamasisha matumizi ya kondom kwamba kuonyesha upendo wako kwake basi tumia kondom!!!!!
Kondom ni kwa ajili ya wazinzi waasherati na wasio waaminifu kwenye mahusiano yao, ukimpenda kweli huna haja ya kuwa na mwingine huna haja ya kutumia kondom

Kuwa mwaminifu kwake awe yeye pekeyake matumizi ya kondom kwa umpendaye ni dhihaka ni dharau ni kukosa uaminifu ni dhambi kwa Mungu

Tusiwe watu wa kubebwa na matangazo na kuaminishwa mambo ambayo ni kinyume na mila na desturi zetu, mambo ambayo ni kinyume na maagizo ya Muumba wetu


Ukimpenda kwa dhati hutatumia kondom
 
matumizi ya condom si kujikinga na std's tu, kuna kujikinga na mimba pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…