Ukimpata mtu mwenye libido sawa na wewe, umeula

We libido yako ikoje jidada?
 
Nina hii changamoto, mwenzangu (KE) hamu yake ipo chini sana, ukimpa game leo ujue mpaka wiki 3 au 4 na tena akitaka yeye, ukimuonyesha unataka wewe anakupotezea mazima.

Nina mpango wa kuoa mwengine mswahili mwenzangu tupelekeshane mwanzo mwisbo.
 
Tafuta Mchepuko ule mema ya dunia[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta Mchepuko ule mema ya dunia[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilijaribu ila na waste time sana plus unaishi kimitego sana, nataka niweke ndani kabisa. Namkumbuka ex wangu mmoja mtoto wa kizigua nahisi alikua na jini mahaba maana shughuli yake 7 days a week moto juu ya moto.

Alikua na mambo yake uko zako mishe unaskia text ukifungua sasa " uwahi nawashwa uje unit*mbe".
 
Sex maniac hao

Ukipata gals Yuko hivyo Raha sana kwanza Huwa hawajivungi chezo wanaomba wao wenyewe anytime halafu ktk mechi sio wavivu ni mwendo wa sarakasi tu chumbani kama mkufunzi wa Yoga acha kabisa [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Na ukimuoa ukapata safar ya mwezi ujisifie hivyo hivyo nina mke anapenda sexy daily nmemuacha mkoa X.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…