Ukimpata mpenzi kama huyu utaishi maisha ya raha sana aisee

Ktk vitu ambavyo huwa sipendi mke wangu kunifanyia ni kunivua soksi, kufua soksi zangu na kunifulia boker.
Mke wangu siyo mtumwa. Hiv huwa nafua mwenyew kbsa
Unaenda kulala, mke wangu njoo nitandikie kitanda nilale. Labda km yupo chumban ila km hayupo naya natandika mwenyew na neti naweka kbsa
Siku nikichelewa kuamka natandika kitanda mwemyew
ni hayo tu
 
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha xanaaa!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani.

9. Hana tabia ya uchoyo na umbea

10. Anakukumbusha usome Neno la Mungu
Kwanini mambo 10 tu?
 
Na mimi naona imefika muda nipate wa kucheza nae michezo michezo. iwe gemu tu kati yetu...tuwe na contract na kufanya ya kutuingizia pesa huku tunapata furaha ya maendeleo.

Kuna mambo duniani hata kama u r married, unakuwa unajikuta unatamani kujaribu na mtu mwingine kuwa kama mna miaka ya kuvunja ungo na kubalehe. Full raha
 
Usije kuling
Anivue socks mimi siwezi! Aniwekee maji ya kuoga Kazi ya shower ni nini

Watu bado mna mawazo ya kipindi Cha mwalimu na kuona hayo ndio mapenzi. Huo ni utumwa.
U
Usithubutu kilinganisha wakati wa MWalimu na sasa Neva! Wakati wamwalimu nyumbani kwetu tyliwahi kukatiwa umeme siku moja tu na ilkuwa uzembe wa TANESCO kururdisha kwa wakati. Baba alipiga simu kwaWaziri na action ilichukuliwa ndani ya robo saa Umeme ulirudi. Enzi za mwalimu kulikuwa hata na starehe ( wengi hawajui wanakuja hapa na maneno ya ajabuajabu). Luanzo Luambo Makiadi aliletwa Enzi za mwalami=u na watu wote mpaka wa hali ya chini waliafford kumuona. Ml. Alileta vikundi mbalimbali vya utamaduni nakumbuka Ngoma kutoka Guinea, ilikuwa nzuri sijapata kuona. Hivyo ondoa fikira potofu za Enzi za mwalimu. Enzi za mwalimu matibabu yote tulipata bure,elimu bure. Kwa ujumla tuliishi peoponi kabla hata ya kufa! Changamoto tu za muda mfupi na kikawaida huwezi kuziepuka na ku-coclude,no haikubaliki! Kuna kukundi kidogo cha watu sijui kwa faida ya nanai kilitumia nguvu kubwa kuifanya image ya Baba wa Taifa kuwa mbaya!
 
Ila sijui wengine tukoje, mwanamke akinitumikia sana I get bored. Napenda sana kufanya mambo pamoja, sipendi achoke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom