General Akudo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 560
- 829
Mkuu we kiazi kweli kweli inaonekana iseee.....inamaana we unaoa mtu ambaye ndo umekutana naye for the first day??? Nyie ndo wale mnauziwa mbuzi kwenye gunia isee.....huna sifa kwanza za kuitwa baharia mpaka hapaKama umeoa hujawahi kutana na changamoto, kama hujaoa pole kaza buti na hili fundisho kwako utamchunguza mwanamke na akijificha utakayo yakuta utakumbuka ulichowahi kukisoma humu utaelewa tu
Doh! Basi poleAnaficha yote usiyajue mkitoka out anaagiza keki soda au wali nyama ukimwambia kuku hataki anasema wanakula sana kwao si unajua tena maana anahisi ni kigezo kinaweza kukatisha tamaa usimchukue, basi yakawa hivyo
Huyu jamaa muhuni tu isee we muda wote ambao alikuwa naye walikuwa wanakula ugali na mchicha tu??? Au chai na mikate??Ukihamu kula ivyo vyakula pika mwenyewe..ingawa bidada alikosea Sana kukuficha
Labda hawakuwahi kula pamojaHuyu jamaa muhuni tu isee we muda wote ambao alikuwa naye walikuwa wanakula ugali na mchicha tu??? Au chai na mikate??
Huo sasa ni upimbi wa level ya masterLabda hawakuwahi kula pamoja
Wacha akale ugali na mchicha kila sikuDuuh,sasa yeye duniani anakula nini kama mambo mazuri kama kuku,samaki hali bora maharage na misumari hata asipokula freshii
Ila mpaka mnaoana usijue kweli mwenzi wako anavitu gani extra na unajipima kama utaweza kuvumilia,[emoji30] acheni ndoa za kushtukiziana fahamianeni vizuri kwanza ,kile ni kifungo ohooo tena si cha miaka kadhaa kwamba utatoka, ni cha maisha[emoji3]
How????????????Hizo date ni ngapi mpaka ufikie kumuoa mtu ambae humfahamu kiasi hicho?Anaficha yote usiyajue mkitoka out anaagiza keki soda au wali nyama ukimwambia kuku hataki anasema wanakula sana kwao si unajua tena maana anahisi ni kigezo kinaweza kukatisha tamaa usimchukue, basi yakawa hivyo
Mkuu acha ukatiliUnaomba ridhaa ili iweje..yeye anastukia tu kuna mwenzie
kazikwake...abaki au asepe....
Hiyo familia siwezi kuitembelea Mimi majani kama sungura[emoji3] [emoji3]Wacha akale ugali na mchicha kila siku
Watafanyaje sasa awe waingie kwenye ndoa ndoanoHiyo familia siwezi kuitembelea Mimi majani kama sungura[emoji3] [emoji3]
umezoe kuk,samaki ...etiHiyo familia siwezi kuitembelea Mimi majani kama sungura[emoji3] [emoji3]
Umewahi kushuhudia watu wangapi walio amua kuoana baada ya miezi michache mpaka 3 wakaoana au chini ya hapo au zaidi ya hapoHow????????????Hizo date ni ngapi mpaka ufikie kumuoa mtu ambae humfahamu kiasi hicho?