Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Anaficha yote usiyajue mkitoka out anaagiza keki soda au wali nyama ukimwambia kuku hataki anasema wanakula sana kwao si unajua tena maana anahisi ni kigezo kinaweza kukatisha tamaa usimchukue, basi yakawa hivyoInawezekana vipi?. Yaani mmeanza date, mmeingia kwenye uhusiano then uchumba finally ndoa kitu kidogo hivyo unashindwa nini kujua?
Unataka kusema kwamba mlikuwa hamtoani out? Hamtembeleani?
Au umeandikaje andikaje?
ndio yapo na kila mtu anayajua maisha yako ni kwamba hutaendelea kula vyakula hivyo maana utamuudhi sana mkeoKwani yale maneno ya kasisi.... 'katika taabu na raha, magonjwa na afya.....umeshayasahau?
Mpe 7800 achape lapa, yaani nikutane na kuku hotelini!!!! No, ili kuepusha migoro ambayo itanipa stress baadae, tuachane tuWana Jamvi,
Mfao umempata mke umeoa hajawahi kwambia kuwa huwa hali KUKU, MAHARAGE, SAMAKI, DAGAA NA NYANYA CHUNGU. anasema akila anawashwa mwili mzima na kutapika hapo hapo hata harufu ya hivyo akiisikia tu anaanza kusikia kichefuchefu. utafanyaje ukizingatia ndio mmeshafunga ndoa. hii inamaana kuwa hawezi kupika vyakula hivyo akikupikia basi ile harufu tu inamdhuru.
unafanyaje hapo (ulimpeleka hospitali imeshindikana, wamempa dawa za allergy bado tatizo liko palepale).
Ni chakula kipi hapo au vingapi kama hali utavumilia kutotumia au kupikiwa nyumbani maishaMpe 7800 achape lapa, yaani nikutane na kuku hotelini!!!! No, ili kuepusha migoro ambayo itanipa stress baadae, tuachane tu
😂 😂 kweli?Kiafrika unaoa mwingine wanakuwa wawili..
huyo anakuwa kama mke mgonjwa...
Je atakubali?Mpandishe cheo tu awe mke mkubwa...
Na akiwa hazai au kabahatika kumzaa mtoto mmoja tu unafanyaje unamkataa unamtafuta anayezaa sio kuvumiliana etiKiafrika unaoa mwingine wanakuwa wawili..
huyo anakuwa kama mke mgonjwa...
Na akiwa hazai au kabahatika kumzaa mtoto mmoja tu unafanyaje unamkataa unamtafuta anayezaa sio kuvumiliana eti
kuna kuficha huwa wanasema akijua baada ya kukuoa hawezi kukuacha mtavumiliana unasemaje kwa hiloChunguzaneni kabla ya tendo takatifu la ndoa..