MichazPipoz
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 533
- 150
Mmh... kuna janaume moja nililikopesha nilikua nalifahamu nilifanya nae kazi. Alikua kwenye majanga ya kupigiwa mnada gari lake. Akaunga unga kukopa huku na huku tukamsitiri. Aliwalipa wanaume wenzie tu, mie nikimdai ananiletea mapenzi.... alinichefua!!!
Loh...! Ile hela bora ningeenda kuwapa walevi walewe. Ila Mungu kamlaani na utapeli wake, madeni yalimzidi sahivi kachokaaa. Na harudi kwenye chati ng'o hadi anilipe.
japo naamini si wote lakini percent kubwa ya wanawake hasa wadada huwa wanasumbua kulipa madeni kama amekopeshwa na mwanaume kweli.
Mwingine atakujengea ukaribu makusudi ili umgegede na ukifanya kosa hilo ndo hutokaa umdai kamwe
Haswa demu anayekutunuku papuchi kumdai inakuwa tabu labda utumie na ww neno "nikopeshe"
Mmh... kuna janaume moja nililikopesha nilikua nalifahamu nilifanya nae kazi. Alikua kwenye majanga ya kupigiwa mnada gari lake. Akaunga unga kukopa huku na huku tukamsitiri. Aliwalipa wanaume wenzie tu, mie nikimdai ananiletea mapenzi.... alinichefua!!!
Loh...! Ile hela bora ningeenda kuwapa walevi walewe. Ila Mungu kamlaani na utapeli wake, madeni yalimzidi sahivi kachokaaa. Na harudi kwenye chati ng'o hadi anilipe.
saawa ina tegemea na makubaliano ya mkopo ila wadada wengne wahajui kuomba ivyo anaomba kwa gia hyo so hata mie ckulp we unavyonila unaona utamu ee
Huu ni ushauri wangu kwa wanaume wote, ushauri huu unakuja baada ya kufanya uchunguzi na kubaini kuwa wanawake wana wazurum sana wanaume kwenye masuala ya pesa.
Hapa sizungumzii wapenzi kwani najua wazi kuwa wapenzi hupeana tu japo wapo wapenzi wachache sana ambao hukopana pesa.
Ndugu yangu, akija kwako mwanamke awe rafiki sana, awe jirani yako tu, mwanafunzi mwenzako, hata mfanyakazi mwenzako akisema nikopeshe pesa ''USIMPE''
Wanawake wengi hupenda kukopa kwa wanaume kwakuwa wanafahamu fika, wanaume huwa wanaona aibu sana kuwadai wanawake na hata kama utamdai basi ni mara moja kwa mwezi hivyo ni sawa na kumdai mara kumi na mbili kwa mwaka.
Fikiria, mwanaume mwenzio tu tena rafiki yangu anavyokusumbua kulipa pesa, leo hii umkope mwanamke, kweli?
Ukikutana na mwanamke mwenye huruma hela yako hakupi ng'oooo atakachokusaidia ni kukupa PAPUCHI tu hata kama unamdai milioni nne. Ukikutana na mwenye roho mbaya, pesa yako hupewi na papuchi hupewi vile vile.
MSIJE SEMA SIKUSEMA, MTAKUJA KULIA HAPA jf NA MTAYAKUMBUKA MANENO YANGU.
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)