Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Huu ni ushauri wangu kwa wanaume wote, ushauri huu unakuja baada ya kufanya uchunguzi na kubaini kuwa wanawake wana tapeli sana wanaume kwenye masuala ya pesa.

Hapa sizungumzii wapenzi kwani najua wazi kuwa wapenzi hupeana tu japo wapo wapenzi wachache sana ambao hukopana pesa.

Ndugu yangu, akija kwako mwanamke awe rafiki sana, awe jirani yako tu, mwanafunzi mwenzako, hata mfanyakazi mwenzako akisema nikopeshe pesa ''USIMPE''

Wanawake wengi hupenda kukopa kwa wanaume kwakuwa wanafahamu fika, wanaume huwa wanaona aibu sana kuwadai wanawake na hata kama utamdai basi ni mara moja kwa mwezi hivyo ni sawa na kumdai mara kumi na mbili kwa mwaka.

Fikiria,
mwanaume mwenzio tu tena rafiki yako anavyokusumbua kulipa pesa, leo hii umkope mwanamke, kweli?

Ukikutana na mwanamke mwenye huruma hela yako hakupi ng'oooo atakachokusaidia ni kukupa PAPUCHI tu hata kama unamdai milioni nne. Ukikutana na mwenye roho mbaya, pesa yako hupewi na papuchi hupewi vile vile.

MSIJE SEMA SIKUSEMA, MTAKUJA KULIA HAPA jf NA MTAYAKUMBUKA MANENO YANGU.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
 
Last edited by a moderator:
Hao wanaume wenyewe hawakopesheki siku hizi...
Kuna watu ukiwapa pesa kwa dhumuni la kurudishiwa jua tu umetoa msaada
 
Siku hizi hawatofautiani na wanaume tu
 
skuiz kama sina nia ya kukusaidia, ata kama nnazo hela sikukopeshi uwe ni ME au KE.......
 
aaaaahhh,
Kuna some %. Not all of them, likewise for men
 
sio wote bana wengine tunalipaga tu kiroho safi

Kwa wanaojitambuwa lakini, ila kwa sisi wanaume ni rahisi kukopeshwa na wanawake ambao hatuna mahusiano nao kimapenzi zaidi ya kibiashara au kujuana tu kikawaida.

Kwangu mimi wanawake ambao siyo wakihusiano wa mapenzi wananijari sana kama nikiwa na uhitaji wa kitu kwao.
 
Tunalipa bwana tena Binafsi hela ya Mwanaume nailipa fastaa asijenigeuzia kibao bure!
 
Ukikutana na mwanamke mwenye huruma hela yako hakupi ng'oooo atakachokusaidia ni kukupa PAPUCHI tu hata kama unamdai milioni nne. Ukikutana na mwenye roho mbaya, pesa yako hupewi na papuchi hupewi vile vile.
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

lol...sounds a fair trade..
 
Umenikumbusha mwanangu alimkopa demu 50elf first mpaka leo hii mwaka wa nne ajapewa na demu ndo kauwa mwaka huu anatia huruma sana kwa kwel ucjaribu utaumua
 
Hapana unamkazia tu mbona wanatoa labda kama una interest nae ndio itakupa taabu.
 
Back
Top Bottom