Ukimkataa Au Ukimwacha Kristo Umejitenga Mbali Na Amani Yake

Samson Ernest

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
1,118
Reaction score
1,565
Yer 16:5 SUV
[5] Maana BWANA asema hivi, Usiingie ndani ya nyumba yenye matanga, wala usiende kuwaombolezea, wala kuwalilia; maana nimewaondolea watu hawa amani yangu, asema BWANA, hata fadhili zangu na rehema zangu.

Mungu alimpa ujumbe Yeremia atangaze hukumu ya Taifa la Israeli, kilichofanya Mungu atangaze hukumu juu yao ni uasi wa muda mrefu waliokuwa wameufanya.

Katazo la kutoomboleza juu ya yale waliyokuwa wanapitia ilikuwa ni hukumu kali kutoka kwa Mungu, watu hawa hawakupaswa kupata hata ile huruma ya kawaida ya kibinadamu.

Tunajifunza nini hapa siku za leo, Kristo ni Mfalme wa Amani, ukimkosa Kristo umekosa Amani yake, ukifarakana naye amani inaondoka ndani yako, utaishi maisha ya kukosa amani siku zote.

Isaya 9
6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Yohana 14
27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.

Amani ikikosekana ndani ya mtu, hiyo ni ishara mbaya ya ukosefu wa uwepo wa Kristo katika maisha yake, ndio mtu akimkosea Kristo hawezi kuwa na amani, anaweza kuigiza hali ipo shwari ila ndani yake anajua hana amani kabisa.

Mtu yeyote anayeikataa injili ya Kristo au anayemkataa Kristo, ajue amejiweka mbali na amani ya Mungu, amekataa kupata amani ya kweli. Kama Wayahudi walivyomkataa Yesu, waliikataa amani.

Luka 19
41 Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia,

42 akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.

43 Kwa kuwa siku zitakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote;

44 watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako.

Ukitaka Amani ya kweli mwamini Mungu, ishi katika Mungu, tembea katika Mungu, tenda au fanya vile MUNGU anataka, utaona amani yake na kibali chake kikitawala katika maisha yako.

Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia na kutafakari
Mungu akubariki sana

Hivi Setfree hajui kutumia VPN maana fujo zake zile ilikuwa ni hatari. Naona sasa wewe umerithi mikoba
 
Nani anamtaka wakati atuhusu isipokuwa mazwazwa?
 
Injili ya kristo iko wapi ? Wewe unatuletea Injili zisizojulikana Nani kaandika
 
Waislam hivi huyu shekh muhammad bachu ni shekh kweli au kaokotwa jalalani ?sikia hoja zake ! Hii hoja angeitoa mbele yangu angeaibika vibaya sana na unafiki wake😁😁🙄🙄🙄 ashukuru kaitoa kwa mandondo yenzake
adriz The Consigliere Jagina Bwana Utam FaizaFoxy Al-mukheef Malaria 2 THE BIG SHOW Covax Jagina

View: https://youtu.be/6O1mmwhuEXI?si=7Po99zpMlDXLg3kv

Sheikh Muhammad Bachu sio mwanachuoni anatoa maboko sana tu .

Kwani kafanyaje na kakutatiza wapi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom