binafsi sijawahi kumkamata demu red handed ila nishawahi kukuta msg za mapenzi ktk simu yake, nikambana akanambia ni kweli mtu wake akalia sana hapo nimsamehe nikamwambia fresh kiroho safi ila nilichukua namba ya jamaa bila yeye kujua, siku moja nikamwambia tutoke kisha nikampigia jamaa aje nikawapambanisha, hiyo siku nilicheka sana walivyokuwa wanakataana, nikamwambia dada unaweza kuendeleatna maisha yako, (eti) alipata pressure akaanguka hapo ikabidi tuanze kumpepea hapo na jamaa yake, mpaka leo anaomba turudiane eti hajaona mtu kama mimi namwambia mama sikiliza apologize by justin timberlake