Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Katika mizunguko yako ikiwa umeonana na mwanamke nawe ukajiongeza juu yake.
Mwanamke naye akaamua kujiongeza juu yako kwa kukufanya ATM machine huku akikizuga kwa vimeseji vya I love you na wakati mwingine hata kukutumia picha zake za ndani ilimradi tu ukamilishe muamala.
Huyo demu muhuni mpenda pesa dawa yake ni kutumia gharama yoyote umwingize guest house kisha mpange aanze kuvua. Akivua mwangalie kunako huku simu umeitega alarm ikilia unajifanya kuipokea unatokomea mazima abaki na papuchi yake.
Kama kwao mbali mtumie nauli kwa simu kisha umpotezee mazima.