Furaha Fedson
Member
- Mar 27, 2011
- 43
- 4
daaa maua mengine mbona hayana upako!
He! Ua nalo linahitaji upako wa nini jamani?daaa maua mengine mbona hayana upako!
naona kama usoni vile lakini kwa chini kidogo..KNi ua la uani hili...........
kama umelipenda kweli mwambie akupe ukalipande kwako...
Lapendeza
heeee pelekeni kwa wakubwa hapa sio pake