MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Ukichambua kwa makini anachokisema unagundua ni pumba tu.Haeleweki kabisa aisee.
Tatizo lake anapenda kufungua mdomo wake kama kasuku.
Anaunanga mfumo uliomweka Magufuli madarakani wakati ndo mfumo huo huo uliomweka yeye bungeni na ndo mfumo huo huo ambao chama chake huwa kinashiriki chaguzi chini yake.
Tatizo ni kwamba hata wale wanamuuliza maswali nao ni wajinga kiasi kwamba hawawezi hata kugundua anachokisema ni pumba au hakina mantiki kisheria.