Ukikutana naye hutaamini ila ni yeye

Majuzi amepita aiseee Demu kawa Mkali kinoma, hips zimekimbiana, kanenepa. Kajaaa , alafu yale makovu ya vipigo vyako ulivokua unampa yamepotea.

Wana tuliishia kuinua mikono juu na kujisemea, kumbe Ulivokua umemuoa ulimnyanyasa sana, na ilikua sahihi demu kukukimbia.
 
Picha zinatudanganya sana mwaka jana nilifahamiana na dada mmoja kwenye grup la whatsapp, tulizoeana sana akawa ananitumia picha zake mara kwa mara nikamuomba tukutane ikawa ananikwepa kumbe mapicha anajiedit sana.

Kwenye picha ni mrefu mwenye hips ila siku niliyokutana nae adi mwenyewe alikua anajishtukia, ni mfupi sana tofauti na kwenye picha ile shepu ya pichani haipo kabisa nikamuuliza mbona kama sio wewe vile alinywea mpaka tunaagana.

Hii kitu ipo sana kwa wanawake wengi hawajiamini jinsi walivyoumbwa
 
Picha zinatudanganya sana mwaka jana nilifahamiana na dada mmoja kwenye grup la whatsapp, tulizoeana sana akawa ananitumia picha zake mara kwa mara nikamuomba tukutane ikawa ananikwepa kumbe mapicha anajiedit sana. Kwenye picha ni mrefu mwenye hips ila siku niliyokutana nae adi mwenyewe alikua anajishtukia, ni mfupi sana tofauti na kwenye picha ile shepu ya pichani haipo kabisa nikamuuliza mbona kama sio wewe vile alinywea mpaka tunaagana.
Hii kitu ipo sana kwa wanawake wengi hawajiamini jinsi walivyoumbwa
Duuu hilo swali lako hukutumia busara ha ha ha
 
Urembo wa kuazima, hapo kavua Brazil na hayo macho yake unaweza ukatoka mbio
 
Men want a relationship where they can feel good about themselves and where they feel like they are with someone who is mature. (Being able to communicate and compromise are just some aspects of a mature relationship). The good one 👌

Men always appreciate respect and having a partner who they can control.
Hadi nimepata njaa..
 
You seems to know what we want can you be what I want..??😉
 
Men want a relationship where they can feel good about themselves and where they feel like they are with someone who is mature. (Being able to communicate and compromise are just some aspects of a mature relationship). The good one

Men always appreciate respect and having a partner who they can control.
Hadi nimepata njaa..
Aisee you ve figured us out... Sema ujaongelea kitu kimoja... Takooo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom