Hii Slogan naona ina-motivate wizi tuu....Nimewakumbuka wadau wenzangu,woooote wa Chit Chat..weekend nshatoa Code tayari...
Mwanangu hujambo? sisi wazima mimi na baba yako watu8 pamoja na dada zako charminglady, WiseLady na sweetlady tunakukumbuka sana
Nimewamiss zaid Mama...na nimefurah kurudi hapa tena...
Mpenzi habari ya wewe??
sijambo darling, daddy dearest