Mr George Francis
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 274
- 486
EKIKIELEWA KIFO, UMEYAELEWA MAISHA
#verytrue
Baada ya kuzaliwa tunaishi, baada ya kuishi tunakufa. Hivyo kuzaliwa, kuishi na kufa vinakwenda pamoja, kamwe havitengani.
Tulio wengi tunakumbuka kuzaliwa na kuishi lakini tunasahau kama kuna kifo. Mwanadamu wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi.
Tunamkosea Mungu, Tunawakosea watu, Tunashindwa kusamehe waliotukusea, Tunalipa visasi, Tunakuwa wezi, Tunakuwa wazinifu, Tunakuwa wachawi na tunatenda maasi ya kila namna kwasabu tumesahau kama kuna kifo na ipi nusura yetu kwa mungu baada ya kifo.
Watu hawaoni tatizo kuua kwa sababu ya tamaa za pesa au mali wengine kwasabuvya chuki tu.
Naomba nikufunue akili na daima ukumbuke haya katika maisha yako
"UKIKIELEWA KIFO, UMEYAELEWA MAISHA".
"Ukikielewa kifo, umeyaelewa maisha"
hapa namaanisha kwamba ukitambua kama kuna kifo ni lazima utajali watu na utakuwa mwenye kusamehe na kuwapenda wengine.
Ukikielewa kifo, hautalipa kisasi, hautachukia wengine, hautakuwa mwizi, hautakuwa mzinifu, wala hautakuwa na dharau.
Ukikielewa kifo, pesa na mali hazitakufanya uwe na kiburi wala hazitafanya uwadhuru wengine ili kuzipata.
" UKIKIELEWA KIFO UMEYAELEWA MAISHA."
Ukikielewa kifo daima hautaacha kusaidia wetu wenye kuhitaji msaada wako kwani na wewe kuna siku utahitaji msaada wao, maisha yanaenda mbele yanarudi nyuma yaani kiufupi maisha yanabadilika.
"UKIKIELEWA KIFO, UMEYAELEWA MAISHA."
Kufupisha maelezo yangu nisisitize tu kwamba ukikielewa kifo, hautafanya mabaya kwa makusudi bali utakuwa mwema siku zote utakazoishi juu ya mgongo wa ardhi. Kielewe kifo ili uishi kwa furaha na amani kwa kujiwekea hadhina iliyotukuka mbele za Mungu.
"UKIKIELEWA KIFO, UMEYAELEWA MAISHA"
Karibu kwenye group la wanasheria tuendelee kujifunza elimu mbalimbali.
Join Telegram: TANZANIA LAWYERS FORUM 🎓
It's me
A Lawyer and LifeCoach
Mr. George Francis
Contacts: 0713736006
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com