benybeny
Senior Member
- Aug 15, 2017
- 104
- 176
Habari zenu wakuu
Sii vibaya tukikumbushana maana ni ustaarabu wa kawaida kabisa.
Unakuta mtu ana shughuri yake maybe send-off au ndoa, na anahitaji michango kutoka kwa wadau ndugu jamaa na marafiki na huyo mtu unaehitaji mchango wake hujawasaliana nae zaidi ya mwaka, siku unayomtafuta unampa na kadi, baada ya hapo unamsumbua akupe mchango lakini baada ya kukukabidhi huo mchango ndo inakua mwisho wa mawasiliano.
Jamani tujitahudi kurudisha fadhira hata kwa kusema ahsante shughuri imepita vizuri