Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,082
- 92,944
- Thread starter
-
- #21
Kuishi ni mtazamo, unaweza kuishia ukiwa na makazi lukuki, chakula cha kila aina, mavazi ya gharama na uwezo mkubwa wa kifedha !
Kama unatafuta je?Kuishi ni kupata mahitaji uyatakayo Mkuu
Kama unatafuta je?
Sina usafiri ila uwezo wa kununua japo piki piki au Baby walker ninao
kuhusu kula sio tatizo nakula ninachohitaji,
Nimepanga ila nakaza nijenge nyumba yangu,
Nipo kundi gani hapo?
Poa mkuuTupo kundi moja.
Tunaishia hivyo, tunayoyoma
Pesa na mali ni vitu vya kupita tu ila hakikisha vinapitia mikononi mwakoKuridhika na kushukuru Mungu ndio maisha, hayo mengine ni ziada tu
Kuridhika na kushukuru Mungu ndio maisha, hayo mengine ni ziada tu
Ukishiba usimwoneshe Mungu tumbo
Tumbo halishibi Mkuu