Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,175
- 12,994
Good morning mbagaAmen mtumishi wa Mungu
Boss anasema mimi ndio niko eti jina langu lilionekana la kwako halikuonekana.Nakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana faida kwako and you are still the boss.
Shida ni pale unavyojijua we ni kilaza halafu unachagua vilaza wenzio ili tu wasije kukuoutshine na kukuzidi hapa ama pale sababu we ndio boss,wale wenye akili unawatupia kule..unajivua nguo!
Ukikwama unaenda kuomba solution Kwa jopo lako la vilaza na wao wakijua wenyewe hawajui,ushauri wanaokupa unakuja kuufanyia kazi hadharani unatarajia Nini?
Shida ni pale unavyojijua we ni kilaza halafu unachagua vilaza wenzio ili tu wasije kukuoutshine na kukuzidi hapa ama pale sababu we ndio boss,wale wenye akili unawatupia kule..unajivua nguo!Nakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana faida kwako and you are still the boss.
Shida ni pale unavyojijua we ni kilaza halafu unachagua vilaza wenzio ili tu wasije kukuoutshine na kukuzidi hapa ama pale sababu we ndio boss,wale wenye akili unawatupia kule..unajivua nguo!
Ukikwama unaenda kuomba solution Kwa jopo lako la vilaza na wao wakijua wenyewe hawajui,ushauri wanaokupa unakuja kuufanyia kazi hadharani unatarajia Nini?
Wanasema ndege wafafanao huruka pamoja.Nakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana faida kwako and you are still the boss.
Shida ni pale unavyojijua we ni kilaza halafu unachagua vilaza wenzio ili tu wasije kukuoutshine na kukuzidi hapa ama pale sababu we ndio boss,wale wenye akili unawatupia kule..unajivua nguo!
Ukikwama unaenda kuomba solution Kwa jopo lako la vilaza na wao wakijua wenyewe hawajui,ushauri wanaokupa unakuja kuufanyia kazi hadharani unatarajia Nini?
Shida ya KILAZA iko sehemu moja tu; KUJIAMINI!Nakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana faida kwako and you are still the boss.
Shida ni pale unavyojijua we ni kilaza halafu unachagua vilaza wenzio ili tu wasije kukuoutshine na kukuzidi hapa ama pale sababu we ndio boss,wale wenye akili unawatupia kule..unajivua nguo!
Ukikwama unaenda kuomba solution Kwa jopo lako la vilaza na wao wakijua wenyewe hawajui,ushauri wanaokupa unakuja kuufanyia kazi hadharani unatarajia Nini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Boss kasema tusiwe na shaka tutatumia chatGPT
Kabisa mkuuShida ya KILAZA iko sehemu moja tu; KUJIAMINI!
Niamini mimi, hakuna kilaza anayejiamini kwenye mambo yake. Muda wote huishi kwa hofu na tahadhari kubwa.
Ukiwa kilaza unajijua kabisa ilo halifichikiShida ya KILAZA iko sehemu moja tu; KUJIAMINI!
Niamini mimi, hakuna kilaza anayejiamini kwenye mambo yake. Muda wote huishi kwa hofu na tahadhari kubwa.
😄😄Boss kasema tusiwe na shaka tutatumia chatGPT
Kuna maamuzi unayafanya hata watoto wa form one wanashangaaHii kweli
The voice of the voiceless!Nakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana faida kwako and you are still the boss.
Shida ni pale unavyojijua we ni kilaza halafu unachagua vilaza wenzio ili tu wasije kukuoutshine na kukuzidi hapa ama pale sababu we ndio boss,wale wenye akili unawatupia kule..unajivua nguo!
Ukikwama unaenda kuomba solution Kwa jopo lako la vilaza na wao wakijua wenyewe hawajui,ushauri wanaokupa unakuja kuufanyia kazi hadharani unatarajia Nini?
Kausha sister angu.Kuna maamuzi unayafanya hata watoto wa form one wanashangaa
Awamu hii tumefikiwa
Boss ukimwambia ukweli tu kwamba hapa umeboronga anaona umemkosea heshimaBoss anasema mimi ndio niko eti jina langu lilionekana la kwako halikuonekana.
Wenye akili watakaa kimya vilaza watajipendekeza naye atawapa sikio alafu chuya na mchele zitajitenga ,all in all "chuya ni chuya mchele ni mchele"
😒😒Kausha sister angu.
Hali mbaya sana.
Wataje kwa kuzunguka zunguka.
Hawaoni shida kuuwa sisimizi au nzi kwa rungu au bunduki.