Ukija uku acha sim yako nyumbani

Na hela niweke wapi maana kwa mtisho huo hata kuweka kwenye shoes nitajikuta nmevaa ndala tu
 
Wanaangalia na mtu mwenyewe! Wakigundua umetokea Chato nadhani utakuwa kwenye wakati mgumu
 
Waliniliza kitambo sana....waliniliza jeneza langu "Nokia 3310"
Mi jamaa akataka kuniliza laptop na kiwembe chake. Nikamwambia aisee nimekulia ugali wa mtama; kama unafikiri nimekulia chips na maembe ya pilipili umenoa nikamtia kabali mpaka akapoteza netiweki nikamuacha wenzake wanampepea nikasepa.
 
Hii picha mara ya mwisho kuiona ni 2002 nilpokuwa drs la tano, kwenye kitabu cha maarifa ya jamii
 
Kamera imepigwa mbali tu ila kwa karibu mbona ni kawaida kabisa.
Unapiga simu na unachat huku unatembae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…