Yes according to me and the bible mfano hiyo ya mwanaume kumpenda mkewe na kutokumsaliti mkewe na hiyo ya kutafuta pesa na kuhudumia familia hizo nyingine kama uvumilivu na usikivi hivyo tumeambiwa tuwe navyo kwa watu wote na siyo kwa waume au wake tuKwa hiyo hizo ni sifa za mwanamme anaejielewa according to you and bible
Mbona kuna wanawake wameolewa wana miaka 40 na kuendelea na wamezaa watoto vizuri tu na ndoa zao zimedumu? Hapo ndipo jamii inapokosea kulazimisha nature ambayo haipo mbona wenzetu wazungu hawana hizi fikra potofu? Mimi ndo maana siku zote nawaambiaga watu wasikariri maishaHii sio habari ya jamii ya wale wala ya wale, kuna mambo ni nature! Wewe unadhani ukifika miaka 40 una jipya??
Mimi nakushangaa sana ujue, na naelekea kuamini kwamba lazima unalo tatizo la msingi about men! You are so negative about men!
Aaaggghhh whatever.......
HelloYes according to me and the bible mfano hiyo ya mwanaume kumpenda mkewe na kutokumsaliti mkewe na hiyo ya kutafuta pesa na kuhudumia familia hizo nyingine kama uvumilivu na usikivi hivyo tumeambiwa tuwe navyo kwa watu wote na siyo kwa waume au wake tu
Umeongea point nzuri sana.Mbona kuna wanawake wameolewa wana miaka 40 na kuendelea na wamezaa watoto vizuri tu na ndoa zao zimedumu? Hapo ndipo jamii inapokosea kulazimisha nature ambayo haipo mbona wenzetu wazungu hawana hizi fikra potofu? Mimi ndo maana siku zote nawaambiaga watu wasikariri maisha
Msipende kuchukulia kila kitu in general kumbuka in every general rule there is always an exception maisha hayana kanuni moja ya kufikia malengo kuna watu wanaolewa wana miaka 20 na wanapofika miaka 40 wanaachika na hawaolewi tena na kuna watu wanaolewa wana miaka 40 na ndoa zinadumu hadi wanapofariki wakiwa na miaka 80
Jamani hii dunia kila mtu yupo kwenye safari yake ya maisha na kila mtu ana kusudi lake yaani kama ni mtihani kila mtu ana maswali yake tofauti na ya mwenzie ukijarubu kucopy tu kwa mwenzio umefeli ndoa anapanga Mungu na hakuna sehemu kwenye maandiko yametaja umri mahususi wa mwanaume kuoa au mwanamke kuolewa jamani hivi is it so hard for you guys to understand this?
Anyways endeleeni kuoa wanawake kwa sababu ya muonekano wao wa nje na kuwaona wenye umri mkubwa kuwa 'hawana jipya' and by the way sina any personal issues na wanaume ila huwa ninashangaa sijui kwanini inakuwa ngumu ninyi kuubali ukweli yaani mnang'ang'ania kile kilichopo kwa sababu mnaona kinawafaidisha hata kama kinatukandamiza sisi wanawake hilo hamjali
HiHello
I really missed you.
Kwa mara ya kwanza umekubaliana na mimi hadi nimepata wasiwasi kuwa ni kweli umeafiki niliyoyasema au unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupaUmeongea point nzuri sana.
Thank you same hereI really missed you.
HahahahahKwa mara ya kwanza umekubaliana na mimi hadi nimepata wasiwasi kuwa ni kweli umeafiki niliyoyasema au unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]see I knew itHahahahah
Partly agreed, partly disputed.
Back to the point, are you really in love with ready made men?Thank you same here
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]see I knew it
Ready made in terms of what?Back to the point, are you really in love with ready made men?
Thanks and no I am not a lawyerReally excited kuona unawaelimisha vijana.
Are you a lawyer?
Yaani wanaume ambao walishajijenga (Having money, car, house etc)Ready made in terms of what?
Thanks and no I am not a lawyer
Yaani wanaume ambao walishajijenga (Having money, car, house etc)
Hongera sana kama kweli uko hivyo.Hapana mimi mwanaume anayenipenda na kunijali, asiyenisaliti wala kuninyanyasa ndo ninayempenda na kumhitaji haijalishi ana pesa au hana
Hahahaha labda kwa maneno ila siyo kwa vitendoHongera sana kama kweli uko hivyo.
Hakika I really deserve you.