Ukiitwa kazini Serikalini, kuna pesa ya awali ya kujikimu?

Ukiitwa kazini Serikalini, kuna pesa ya awali ya kujikimu?

Kwa hio poss we utakua upo ktk taasisi za serikali,ila navyofahamu poss walikua wakitumia zamani ,sahv wanatumia pgss,hio poss ni ngazi ya mshahara ya chini sana kwa form 6,sahv sisi hatutumii hio tunaanza kulipa kwa pgss hata kama ni form 4 ataanza na pgss 5
mkuu hebu nijuze hyo poss 4 ni ngapi kwa taslim?
 
sasa mwenye madaraja ya taasisi kama PGSS na POSS atusaidie maana hatuzielewi digits zake
 
Utapewa posho ya kujikimu kwa siku 7, na kama una mke naye atapewa siku 7. Kama una watoto nao wanapewa nusu ya posho yako kwa siku 7. Idadi ya watoto haitakiwi kuzidi wanne. Kiasi cha posho kwa siku inategemea unaenda kuanzia kazi Wilayani au katika miji mikuu ya mikoa na jiji. Kwa kiwango cha sasa kwa Wilayani posho ni elfu 45 kwa siku na kwa miji mikuu ya mikoa na majiji ni elfu 65 kwa siku.
Iv hii itakuwepo mpaka leo kweli,
Yan ulipwe 7 muajiriwa + 7mke + 7watoto. Mh
Anyway, hivi tutorial assistant huwa wanapewa pesa ya kujikimu?
 
Back
Top Bottom