Ukiishi Dar unakuwa bora kuliko wengine!

Kumbuka baada ya Passport yako kufuatiliwa ilionekana umetembelea nchi zifuatazo:-
Congo
Rwanda
Burundi
Uganda na Zambia.
 
Sawa ila wewe nae ni pumba kama hao wa dar kwani kuna cha kujifunza kutokana na hili?
 

Mambo ya kuzingatia kabla haujaandika mambo ya Dar es Salaam na watu wake:
1. Mtu anayeishi Dar ni sawa na muhitimu wa chuo kikuu wa shahada ya kwanza kutoka mkoani,
2. Mtoto wa miaka mitatu wa Dar ni sawa na wavulana 10 wa mikoani,
3. Mwanaume mmoja wa Dar ni sawa na mabrazamen 100 wa mikoani,
4. Demu mmoja wa Dar anaweza akawa sawa sawa na wanawake wa kijiji kizima wa mkoani,
5Tajiri mmoja wa Dar es Salaam anaweza akawa amewazidi matajiri wote wa mikoani, na
6 kama unabisha unaweza ukaandamana.
 
Umesahau na b,a,s,h,i,t,e mmoja wa dar ni sawasawa na nini mkoani mkuu?
 
passport mkoani?taja nchi mbili za kimataifa ulizowahi kwenda ili nikuulize maswali ya kule
 
Una sababu gani ya kwenda kijiweni na passport mfukoni? Au na wewe ulienda kuwakoga hao wa mkoani.
Kwa sababu ni wa kimataifa kwa hiyo passport huwa haitoi mfukoni..anytime anaweza kusafiri nchi ya kimataifa
 
Ila wamikoani wanapenda dar[emoji16]
 
Yaan mpaka umetoa sim na kuangusha pass ndo umeonekana tofaut?daah bas lazma una look ya huko kolomije na umefanana na hao wa vijiwen,maana wa dar hua wanaonekana tuu hata bila ya kuonyesha papers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…