Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Zitafute shem ila bei yake kidogo imeenda shule...
Kama sh.ngapi hivi?Ndio zinaitwaje kwa kiswahili?Si zipo masoko hata ya kawaida au mpaka supermarket?
Zitafute shem ila bei yake kidogo imeenda shule...
Huogopi na kule hamna umeme?
Naona wengi hufanya hivyo ila tatizo situmii maziwa
Dah!! Pole yako...
Kiukweli bila maziwa hata Mimi siziwezi!! Huwa zinakuwa na radha mbaya. Ukiweka maziwa zinakuwa laini lazima uzifurahie
Kwakiswahili sijui tunaitaje, na zinapatikana masoko yakawaida na supermarket
Nipeleke yenye umeme
am watching you..........
We nae hulali?????
Shem kiwi nazipenda sana, tamu sana zile. Olives je unakula??
Shemeji shemeji huku wazima................
hahahahaha Ni wimbo tuuu..