Ooyooo huyu ni kidume tena anajua sana thamani ya kuwa na jiko lake mwenyewe maana kisha choka na majiko ya kuwazima kwa majirani na huwa ni kerro sana hasa siku za mvua za masika na ubaridi na kuna nahau tambara la kuazima halisitiri hapo kidogo kigugumizi na malizi a hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.