Ukiifanyia Tafakuri Tunduizi ( Critical Thinking ) hii ' Kauli ' ya Rais Dkt. Magufuli utagundua kuna ' tatizo ' la msingi mahala

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,557
108,897
" Haiwezekani Wahitimu wote hasa hawa wa Kimedani ( Kipolisi / Kijeshi / Kimagereza ) wamalize wote salama kwa idadi ile ile. Sijasema kuwa hawa wa leo hawajafuzu ila hata Mashuleni na Vyuoni pia Watu huwa hawamalizi wote na kusikia kuwa hapa leo idadi ile ile kasoro Watu watatu waliofariki ndiyo imemaliza kidogo inanipa maswali mengi ila hongereni walinda Usalama wangu kwa kumaliza na mnastahili Sifa sana "

Naomba kila ' Great Thinker ' aisome hiyo Kauli na atulize kabisa akili zake kisha airudie tena halafu uanze Kutafakari kwa Kina kisha yale utakayopata basi nakuomba tu utiririke na userereke nayo hapa Jamvini japo kwa Mimi GENTAMYCINE nimemuelewa mno Mheshimiwa Rais na naliona ' tatizo ' kubwa katika ' recruitment ' na hasa hasa ' Trainings ' zao na kuna Kitu hapa Mheshimiwa Rais ' amekifumba ' na pia kuna ' taarifa ' ambayo yawezekana anayo juu ya hizi ' Kada ' Kuu kubwa tatu za Ulinzi na Usalama hapa Tanzania.

Nawasilisha.
 
Tuseme hayaamini mafunzo wanayopewa wanajeshi....shida yake anataka kusikia kumi wamefariki, ishirini wamejeruhiwa na risasi na hamsini wamekimbia mafunzo.

Hapo atajua waliobaki wameiva kimafunzo.!
 
Siyo lazima mtu afe ili iwe kielelezo cha ukomavu au kuiva.

Naye katika kutenda haki, hii PhD asingeliipata maana hakutimiza masharti kama alivyoyaainisha Ben Saa nane.
kama kungelikuwa na democracy ya kweli, naye urahisi asingeliupata kamwe! hivyo aache kuwatusi wenzake naye ana sail in the same boat!
 
Tuseme hayaamini mafunzo wanayopewa wanajeshi....shida yake anataka kusikia kumi wamefariki, ishirini wamejeruhiwa na risasi na hamsini wamekimbia mafunzo.

Hapo atajua waliobaki wameiva kimafunzo.!

Nakubaliana nae na wengi na hata ' Wabobezi ' wenyewe wa hizi ' Medani ' wanasema ni ngumu, haiwezekani na inaleta Picha mbaya hasa kwa ' Trainers ' pale ambapo zimeingia ' Njemba ' kama 700 katika Mafunzo hayo ya ' Umedani ' halafu Siku ya ' Kuhitimu ' wote 700 wakawepo.

Tena ningekuwa Mimi ndiyo IGP Sirro hata nisingekubali kwani kama waliingia hao Askari Polisi 526 ( kama sijakosea takwimu ) Mimi GENTAMYCINE kama ningekuwa IGP nisingekubali leo wawe ' Commissioned ' hivyo na ningeamuru mara moja hiyo Kozi irudiwe kwani bado hawajaiva ila ningeambiwa kuwa kati ya hao Wahitimu 526 wamekufa 371, 77 wametenguka Viono, Ugoko na Mbavu, 7 walitoroka, 2 wamekuwa Matahaira, 11 wamefukuzwa kwa Utovu wa Nidhamu wa Kupiga ' Punyeto ' wakati wa Kozi na 58 pekee ndiyo wamefanikiwa kuwepo hadi mwisho nisingeishia tu Kuwapongeza bali pia ningewapa ' Tuzo ' zao za ' Kutukuka ' kabisa na pengine hata Mishahara yao ningeipandisha maradufu.
 
Back
Top Bottom