Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,235
- 4,382
Hii elimu siwezi kuitoa public kwasababu serikali ya Tanzania kupitia Benki kuu ya Tanzania haitambua na inazuia watanzania kuelewa na kujihusisha na masuala yote yanayohusiana na Crpto currencies, forex, etc. Hii imekuwa ikinishangaza sana. Unakuta Gavana wa Benki Kuu anakaza shingo kweli kweli, "watanzania msijihusishe na crypto, ni hatariii!"
Na siku zote huwa najiuliza: Serikali au Benki Kuu, wanavyowakataza watu au kuwashauri watu, Je, huwa inawalipa fidia raia wake pale wanapopoteza hela zao? Sasa ni kwanini iumie watu wakijihusisha na masuala ya Crpto na Forex?
Kuna chaka moja la wazungu, huko ambako serikali haifuatilii "petty issues" linaitwa Polymarket. Huko bwana kuna kila aina ya takataka, kuanzia sports, politics, finance, tech, culture, etc. Ni kama betting markets lakini ni zaidi ya hapo.
Mfano mmoja wapo upo hivi. Sasa hivi kuna hati hati kwamba Benjamini Netanyahu amefariki. Sasa huko kwenye Polymarket kunakuwa na upande wa probability kwamba amefariki au yupo hai. Na kwenye kila probability unaweza kununua au kuuza.
Mfano mimi hapa chini nimeamua kukubali kwamba Benjamini Netanyahu amefariki. Na probability iliyopo kwa sasa ni 6.6%. Kwahiyo ukibet yes kwamba amekufa halafu ukaweka labda $100 (Tzs 250,000) kama hilo tukio likitokea kweli basi unauwezo wa kupata $1,430 (Tzs 3,575,000).
Hapa chini hii ni leaderboard ya siku, ya watu ambao wanaongoza kwa kutengeneza pesa kwa siku.
Kwa akili za ki-tanzania-tanzania unaweza kuambiawa kuna mtu anatengeneza $50,000 ukakataa, ila kwa kweli ukiifahamu dunia na mifumo yake; mambo mengi sana yanawezekana. Ila mtu ukiwa na mentality ya kimasikini kila jambo unaloelezwa utaona kama sio halisi na haliwezekani.
Kwa wanaobet mpira, pia humo kuna predictions za mipira zenye pesa nzuri. Nenda kimataifa achana na betting apps za wahindi.
Wenu,
MC Ghalibaf