Ukiiaminisha akili yako, haitakuangusha

Ukiiaminisha akili yako, haitakuangusha

Kwa watu mashuhuri, hata mtoto anaweza akamfahamu, sembuse mtu mzima.

Mtoto wa miaka mitano, anaweza akawa hajawahi kukutana na mama Samia, lakini ikitokea amekutana naye sehemu, atatambua huyo ndiye Mama Samia ambaye amekuwa akimwona kwenye TV.

Si shida kufahamu ilipo ofisi ya mtu mashuhuri. Hata kwa kuulizia tu, unaweza kuifahamu.
[/QUOTE
Hamna kitu,hizo stori tu za kujiaminisha.....amkeni mfanye kazi Kwa bidii mtafikia ndoto zenu
 
Mantiki ingekuwa ni je, alijuaje kuwa Ziglar ndiye aliyemuambia hayo maneno? Je, walipata nafasi ya kufahamiana kwa majina? Kama ndiyo, sawa.
Sijawahi kukutana na Mzee Kikwete, lakini ikitokea nimemkuta mahali, sitahitaji kujulishwa kuwa huyo ndiye Mzee Kikwete. Watu maarufu wanafahamika!
 
Imani pasipo matendo imekufa...Vijana wafanya kazi
 
Kwa watu mashuhuri, hata mtoto anaweza akamfahamu, sembuse mtu mzima.

Mtoto wa miaka mitano, anaweza akawa hajawahi kukutana na mama Samia, lakini ikitokea amekutana naye sehemu, atatambua huyo ndiye Mama Samia ambaye amekuwa akimwona kwenye TV.

Si shida kufahamu ilipo ofisi ya mtu mashuhuri. Hata kwa kuulizia tu, unaweza kuifahamu.
Nashauri vijana mfanye kazi kufikia ndoto zenu,kujiaminisha huku hujachukua hatua ya kujikwamua ni kazi bure
 
Shibisha imani yako wewe. Ili utusue majackpot 🤣🤣🤣🤣🤣
Siamini kabisa kwenye bingo,,,🤣naamini kwenye hardworking........Kama unabisha kaa nyumbani kwako huku ukiamini utakuwa Mo Dewji bila mipango yeyote...
 
Nashauri vijana mfanye kazi kufikia ndoto zenu,kujiaminisha huku hujachukua hatua ya kujikwamua ni kazi bure
Ndiyo, ni kazi bure kabisa. Hata ukitengewa chakula, lakini ukaishia tu kuamini bila ya kuchukua hatua ya kukila, utaishia kufa kwa njaa mbele ya chakula.

Ndiyo maana huyo omba omba, alipotiwa moyo na Zig Ziglar, aliamini na kuchukua hatua na hatimaye akawa mfanyabiashara mwenye mafanikio.

Hata kwenye Biblia, kuna wakoma wanne waliohatarisha maisha yao, kwa kutenda kinyume na logic zao ila sawasawa na imani zao, na wakapona njaa wao na Taifa lao.

Uko sahihi kabisa! Amini, kisha chukua hatua.
 
Story siijui lakini it is quietly very simple kwa logic ya kawaida.

Ni mfanyabiashara anayefundisha watu biashara. Maana yake ni mtu anayejulikana. Address za ofisi ni kitu public. Anybody can access at any time.

Mantiki ingekuwa ni je, alijuaje kuwa Ziglar ndiye aliyemuambia hayo maneno? Je, walipata nafasi ya kufahamiana kwa majina? Kama ndiyo, sawa.
We hujui mambo ya nilianza na manyoya matano Sasa Nina kuku elfu tano😢😢
 
Ndiyo, ni kazi bure kabisa. Hata ukitengewa chakula, lakini ukaishia tu kuamini bila ya kuchukua hatua ya kukila, utaishia kufa kwa njaa mbele ya chakula.

Ndiyo maana huyo omba omba, alipotiwa moyo na Zig Ziglar, aliamini na kuchukua hatua na hatimaye akawa mfanyabiashara mwenye mafanikio.

Hata kwenye Biblia, kuna wakoma wanne waliohatarisha maisha yao, kwa kutenda kinyume na logic zao ila sawasawa na imani zao, na wakapona njaa wao na Taifa lao.

Uko sahihi kabisa! Amini, kisha chukua hatua.
Ushasoma "The secret"?Cha Rhonda Byrne ndio kina hizi blahblah.....
 
Nimesoma THE SECRET, THE LAW OF SUCCESS, HOW YOU CAN GET RICHER QUICKER, THOUGHTS TO BUILD, HERE'S HELP, THE RICHEST MAN IN BABYLON, na vingine vingi, more than four hundred books.

Why do you call it blahblah!

By the way, kabla sijakisoma hicho, tayari nilikuwa ninayafahamu hayo mambo. They are all in the Bible.

I firstly acquianted them through the Bible, before I ever read anywhere else.

Nimeyaona! I experienced them, first hand experience!

If you can't believe, don't assume huo ndiyo uhalisia kwa kila mtu. No! It's not so!!!
 
Nimesoma THE SECRET, THE LAW OF SUCCESS, HOW YOU CAN GET RICHER QUICKER, THOUGHTS TO BUILD, HERE'S HELP, THE RICHEST MAN IN BABYLON, na vingine vingi, more than four hundred books.

Why do you call it blahblah!

By the way, kabla sijakisoma hicho, tayari nilikuwa ninayafahamu hayo mambo. They are all in the Bible.

I firstly acquainted them through the Bible, before I ever read anywhere else.

Nimeyaona! I experienced them, first hand experience!

If you can't believe, don't assume huo ndiyo uhalisia kwa kila mtu. No! It's not so!!!
Hapo umenizidi viwili,The richest man in Babylon pamoja bible Nimesoma vyote,Ila bado sijawa yule ninayetaka kuwa bado najitafuta kwa kupambana na ulimwengu
 
Kumbe na wewe ni msomaji wa Vitabu! Hongera!!!
 
Tena nasoma hardcopy,niliadopt kwa mshua wangu,ana tabia anasoma kitabu akimaliza ananipasia,
Napenda harufu ya kitabu😀
,
"Mshua" wako anastshili pongezi nyingi sana!!!

Lakini unavionaje vitabu, vina msaada wo wote kwako?
 
Upeo, lifestyles,na reasoning ya mtu anayesoma vitabu huwezi fananisha na mtu asiyesoma vitabu hata kwa asilimia 2.
 
Back
Top Bottom