Ukihisi umelogwa fanya haya

Ukihisi umelogwa fanya haya

Mimi nimeshashuhudia na kuamini mbauda Arusha kwa warangi na wanyiramba uchawi huko. Dogo alifaulu la saba wakamaindi eti kwa nini kafaulu wengine wanadai ni freemasons wakampiga kimbola asee. Dogo alikuwa anajirusha hewani kima cha spika nakujiangusha kichwa chini tena kwenye kokoto na wala hafi wala shingo kuvunjika.
kuna baadh ya comment mpaka unajiuliza huyu jamaa kawaza nin kuandika hv ila ngoja kwanza nimuulize: mzee baba umesemaje? Mmmh kwakweli noo noo tena nakukemea kwa kiswahili na kwa herufi kubwa HAPANA HAPANA humu ndan sisi ni watu wa zima tutake radhi tunaweza tukatoa laana usipate hela hadi mwakan
 
Kwenye maisha hakuna kitu kinaitwa kulogwa, ukiona mambo yanaharibika t kila jamnambua akili yako haifanyi kazi vizuri.
Chief kila kitu kipo labda useme halijakukuta jambo tu Mshukuru Mungu kwa ka jambo
 
Hakuna kitu kinaitwa kulogwa ni ubongo wako tu unakuchezea trick na uoga wako tu...

Mbona hujawahi kusikia Rais kalogwa au Mo Dewji kalogwa daily wanaologwa ni maskini...

Na hujawahi Kuona wanaoanguka na majini matajiri siku zote wanaoonekana ni maskini kwa sababu maskini hujiprogram kila akianguka basi lazma atafute mtu wa kumlaumu ....

ILa ukiiweka akili yako kwa kujilaumu mwenyewe kwa makosa yako na kuamka kuyacorrect na kusonga mbele hakuna swala la kulaumu eti umelogwa...
UMejiloga mwenyewe
Unajiita Dr.sijui nani lakini unaonekana wewe ni zuzu naomba niishie hapa
 
Unajiita Dr.sijui nani lakini unaonekana wewe ni zuzu naomba niishie hapa
Umeona ulichoandika lakini..
Usinilazimishe kwenye imani unayoiamini na mimi niamini nimeshakuambia hakuna uchawi..

Nina jikita katika facts sio Ujinga wa imani mnazorithishana wewe na ukoo wako za kuamini kwenye ujinga mnaoamini..

Kama unaweza unaweza ukajikita kwenye Kuniprove wrong kwa facts..

Narudia tena hakuna uchawi wala majini wengi wanaosema wana majini hayo ni matatizo ya akili tu na yanatibika ..
Kama na wwe una matatizo hayo ya kuhisi umerogwa karibu Mental Hospital Ziko nyingi utatibiwa..

NB: Mental Health is real Njoo utibiwe..
Kingine USIDHANI KAMA NITAREACT KWA KUTUKANA KWA KUWA UMEJARIBU KUFANYA MICHEZK YA KITOTO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom