Ukihisi umelogwa fanya haya

Ukihisi umelogwa fanya haya

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,892
Kama unahisi una dalili za kulogwa kutoka na mikosi balaa nuksi nk basi nakushauri nenda kwenye mikono ya Mungu.

Kasali Msikitini wakuombee ama wenzetu mnaweza kupitia kwa Kuhani Musa

Mwamposa

Yuko kiboko wa wachawi Buza

Na wengineo

Usikimbilie kwa waganga shetani hamtoi shetan mwenzie atamtuliza tu
 
Kama unahisi una dalili za kulogwa kutoka na mikosi balaa nuksi nk basi nakushauri nenda kwenye mikono ya Mungu.

Kasali Msikitini wakuombee ama wenzetu mnaweza kupitia kwa Kuhani Musa

Mwamposa

Yuko kiboko wa wachawi Buza

Na wengineo

Usikimbilie kwa waganga shetani hamtoi shetan mwenzie atatmtuliza tu
Hao uliowataja ndio wanarogwa
 
Asante Mkuu. Nadhani safari za kunikamua fedha zitaisha.
Kamaa ukipatahela unatimia ovyo chukka kibbutz weka mkaaa mdogo.dogo na chumvi ya Mawes.. ukizipata weka humokwamda ziombee Allah anilindeeee keshoyake anzakutumia....usisahausadaka kwa Appostle Pdidy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom