Ukigundua rafiki yako anamtongoza mpenzi wako utafanyaje?

Tumia simu ya demu wako upande mmoja mwambie atume hela ulipie guest na aje guest fulani kugegedana! lipia kabisa chumba aingie moja kwa moja chumba number 7. akija anakukuta mzee umetuna, akitulia muelezee; ''nilijua kitambo sana habari zako'' nakwambia anaweza kufa ghfla!

au mueleze mke wake kinachoendelea! asikae mbali siku anakuja guest hapo muite mke wake pia aje. mke wake amuulize sababu za kuja pale ni nini hapo?
 
kuna watu wana roho mbayaaa........................... wamekosa utu kabisa
ni bora sasa rafiki yako amtongoze demu wako
ikitokea demu wako anamtongoza mshikaji wako sijui utafanyaje
 
Tumia simu ya demu wako upande mmoja mwambie atume hela ulipie guest na aje guest fulani kugegedana! lipia kabisa chumba aingie moja kwa moja chumba number 7. akija anakukuta mzee umetuna, akitulia muelezee; ''nilijua kitambo sana habari zako'' nakwambia anaweza kufa ghfla!

au mueleze mke wake kinachoendelea! asikae mbali siku anakuja guest hapo muite mke wake pia aje. mke wake amuulize sababu za kuja pale ni nini hapo?
Safiiiii mkuuu wazoo zuriii
 
Leo nimepewa taarifa kutoka kwa mpenzi wangu kuhusu mchizi wangu wa kitambo sana since advance till now ni wana sana kwa kila kitu.

Ni mchizi ambaye namwamini sana, siri zangu nyingi anazijua tunashare vingi. Sasa jamaa kumbe anamtaka mpenzi wangu kitambo tu sema shem lenu alikuwa hataki kunambia kwa kuhofia kuvunjika kwa urafiki wetu. Ila ameona imekuwa too much ameamua afunguke.

Ubaya sasa jamaa anampa huyu mpenzi wangu siri zangu ili ampate, ofcourse sikuamini mpaka nilipoona texts za mchizi za toka last year huyu msichana alikuwa anatunza. Na jamaa yuko siriaz anataka mzigo kwa mpenzi wangu, amenambia vingi sana hata siamini kama jamaa mchizi anaweza fanya us*** kama huu. Anatuma mpaka nyeti kwa mpenzi wangu.

Nilikua safari almost mwezi jamaa hapa ndio alikamia mchongo mpenzi wangu akaamua mblock ila jamaa akaendelea komaa kumcheki na namba Tofauti

Wazee wa hekima nipeni ushaurii hapa.
Mimi kuna jamaa yanguu ameonge utumboo kwa manzi yanguu yanii manzii haniaminii saizi hata kidogo. Kuna siku nilileta mtu tukalala bahati nzurii nili mtoa asubuhii ghafla nashangaa saa 1 manzi anagongaa anakuja na kuanza kuangalia mashukaa na tauloo aiseee kumbe jamaa alimwambia kuwa nina manzii na jamaa niko naee namchora tu.
 
Asee mimi rafiki yangu ana mipaka,mishe nyingi asije home mara kwa mara tunakutana mbele huko...
 
Leo nimepewa taarifa kutoka kwa mpenzi wangu kuhusu mchizi wangu wa kitambo sana since advance till now ni wana sana kwa kila kitu.

Ni mchizi ambaye namwamini sana, siri zangu nyingi anazijua tunashare vingi. Sasa jamaa kumbe anamtaka mpenzi wangu kitambo tu sema shem lenu alikuwa hataki kunambia kwa kuhofia kuvunjika kwa urafiki wetu. Ila ameona imekuwa too much ameamua afunguke.

Ubaya sasa jamaa anampa huyu mpenzi wangu siri zangu ili ampate, ofcourse sikuamini mpaka nilipoona texts za mchizi za toka last year huyu msichana alikuwa anatunza. Na jamaa yuko siriaz anataka mzigo kwa mpenzi wangu, amenambia vingi sana hata siamini kama jamaa mchizi anaweza fanya us*** kama huu. Anatuma mpaka nyeti kwa mpenzi wangu.

Nilikua safari almost mwezi jamaa hapa ndio alikamia mchongo mpenzi wangu akaamua mblock ila jamaa akaendelea komaa kumcheki na namba Tofauti

Wazee wa hekima nipeni ushaurii hapa.
Namsaidia kutongoza
 
Asee mimi rafiki yangu ana mipaka,mishe nyingi asije home mara kwa mara tunakutana mbele huko...
Ni sawa ila,kuna,mda mnakuwa karibu mpaka anakuwa,anajua vile asivyo staili mfano michepuko na mishe zako za pesa.

Ila nimekuja kumjua mwishoni. Maana mara ya kwanza alinikandiaa kwa manzii mmoja hivi akaanza kumla kisiri sirii sema nilikuja kujua siku mmind sasa wapili ndo nimejua baada ya manzii kunirukiaa na story ambazoo nilimuambia jamaa kwa bahatii mbayaa kuwa simu yake naona msg zake na ilikuwa na mtania tu jamaa.
 
Huyo jamaa ako sio rafiki,hata ukipata mishe yenye mapesa atakutangaza huyo ni mnafiki...akae mbali na wewe asikujue kihivyo maana anatangaza ishu zako,niliwahi kuwa na rafiki ambae anapenda kila nilichonacho nikamwona ni adui tu.
 
Huyo demu pia kashaliwa na jamaa yako amin kwamba boss ndo maana mchizi ana power ya kumwambia chochote mimi manzi yangu nimemuwekea mipaka mazoea ya kupitiliza na wana staki mamaeee nisije kufanya dhambi ya kujeruhi mimi.

Mkuu amini usiamini ila demu wako mchizi lazima amle kwa gharama yoyote ile tena ukivunja naye urafiki chance yakuliwa huyo demu wako itakuwa kubwa zaidi,mpk jamaa anamkomalia hivi kuna kitu demu wako alionyesha.
Sure! Nakuunga mkono kuna vitabia alivionyesha huyo bidada
 
Hakimu mzuri ni yule anaeangalia pande zote 2 kwa demu na rafiki.

Kabla ya kumchukulia hatua huyo rafiki yako, jaribu kumchunguza huyo demu wako kuhusiana na huyo rafiki (inawezekana kuna kitu behind the scene anakuficha coz mwaka mmoja ni mkubwa kutunza msg, pia kutumiwa picha za uchi kunakuwa na conversations za kimapenzi kabla na baada ya picha).

Badilisha rafiki, huyo hakufai.

Tumia simu ya mwanamke kumjulisha kwamba umezifuma msg zake, na pia tumia simu ya mwanamke kuchat nae huyo rafiki (itakusaidia kujua mengi zaidi)
Yah umewaza vyema kabisa
 
Huyo jamaa ako sio rafiki,hata ukipata mishe yenye mapesa atakutangaza huyo ni mnafiki...akae mbali na wewe asikujue kihivyo maana anatangaza ishu zako,niliwahi kuwa na rafiki ambae anapenda kila nilichonacho nikamwona ni adui tu.
Na kwelii kuna siku nilipata pesa nikawa kimyaa ila nikasema huyu jamaa ngoja,nimpee hata tusaidianee umaskiniii ila cha kushangaazaa nashangaa kuna jamaa ananipigia akaniambia ni mkope anajua nimepata pesa kumuuliza ndo nikaambiwa kuwa alimuomba jamaa jamaa,akasema ninazoo na sioo moja watu kama 4 hivii ikabidiii nivungetu saizi ndo nimemjua vizurii.

Tena baada ya demu wanguu kuniambia kuwa amechoka na masengenyoo juu yanguu anayo pokea kwa jamaaa hivyoo anataka nisiwe na mazoea na jamaa
 
Huyo demu pia kashaliwa na jamaa yako amin kwamba boss ndo maana mchizi ana power ya kumwambia chochote mimi manzi yangu nimemuwekea mipaka mazoea ya kupitiliza na wana staki mamaeee nisije kufanya dhambi ya kujeruhi mimi.
Uzurii nilimuachaa maana,nilimwambia wewe umeliwa tayarii hakuna maswaliiiii.

Ila nikamwambia,mazoea ndo sitaki na,jamaa kuanzia leooo. Hata mawasilianoo sitakii sasa sijuiii ila nimeshaa anza kumpotezea manzii mwezii saizii. Japoo ana tuma msg kama zote
 
Wanaume tunatofautiana sana, binafsi siamini kama mke/mpenzi wangu ninammiliki, k ni yake na ye mwenyewe kwa utashi wake ataamua ampe nani.

Kuna mmoja aliniletea swaga hizo sijui nani ananitongoza, nikamuuliza mbona wanaukogonga hauji kuniambia? Kwangu Mimi kutaka kujua nani anamtongoza mkeo naiweka kundi moja na wale wanaomuuliza mwanamke ameshatembea na wanaume wangapi.
 
Mshikaji kumtongoza demu wangu ni kitu Cha kawaida kabisa, hata akimtongoza Dada yangu poa tu, nijue Sasa mshikaji anamtongoza Mama yangu, wallahi namuendea kwa waganga ishirini na mbili, wa Sumbawanga, Gamboshi, Tanga, Kigoma, Mafia, Nyambitilwa, Congo, Malawi, Hadi Msumbiji ntaenda ili dushe lako lipate govi upyaaaaaaa
Nikimaliza waganga, nahamia kwa mitume na manabii..

Jamaa atakomaje?
Mweee hilo bifu sio la nchi hii
 
Leo nimepewa taarifa kutoka kwa mpenzi wangu kuhusu mchizi wangu wa kitambo sana since advance till now ni wana sana kwa kila kitu.

Ni mchizi ambaye namwamini sana, siri zangu nyingi anazijua tunashare vingi. Sasa jamaa kumbe anamtaka mpenzi wangu kitambo tu sema shem lenu alikuwa hataki kunambia kwa kuhofia kuvunjika kwa urafiki wetu. Ila ameona imekuwa too much ameamua afunguke.

Ubaya sasa jamaa anampa huyu mpenzi wangu siri zangu ili ampate, ofcourse sikuamini mpaka nilipoona texts za mchizi za toka last year huyu msichana alikuwa anatunza. Na jamaa yuko siriaz anataka mzigo kwa mpenzi wangu, amenambia vingi sana hata siamini kama jamaa mchizi anaweza fanya us*** kama huu. Anatuma mpaka nyeti kwa mpenzi wangu.

Nilikua safari almost mwezi jamaa hapa ndio alikamia mchongo mpenzi wangu akaamua mblock ila jamaa akaendelea komaa kumcheki na namba Tofauti

Wazee wa hekima nipeni ushaurii hapa.

Waliomla mzigo amekuambia? Stuka wewe wanawake wa hivyo ni nyoka tu.
 
Back
Top Bottom