Pay as you earn ni nini?

smartjini

New Member
Sep 29, 2022
3
0
Habari za jioni wanajukwaa naomba nisogeze hoja mezani kuhusu ishu ya tozo za Kodi(pay as you earn) kwa mfanyakazi alieajiriwa na kampuni mbili binafsi 2 kwa wakati mmoja na mshahara wake kwa kila kampuni ni chini ya laki 2 na nusu je mtu huyo atakatwa Kodi aslimia ngapi naombeni msaada kwaanayefahamu
 
Back
Top Bottom