Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,306
- 25,929
Leo, Ripoti ya pili ya makinikia inawasilishwa. Ripoti hiyo inawasilishwa na Kamati Maalum iliyoundwa na Rais chini ya Prof. Osoro. Kimsingi, Ripoti hii itajikita kwenye athari za kiuchumi na za kisheria zilizotokana na usafirishaji wa makinikia kwa miaka yote.
Kikatiba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali almaarufu kama AG ndiye Mshauri mkuu wa kisheria wa Serikali. Ndiye hasa anapaswa kuishauri Serikali katika mambo ya kisheria ili kuiepusha nchi na athari za kiuchumi na kisheria katika mikataba, sheria na kadhalika.
Wakati mkifuatilia na kufanya tafakuri za Ripoti ya pili ya makinikia, wajueni Wanasheria Wakuu wa Serikali kuanzia uhuru wa Tanzania hadi leo. Ni hawa:
# Attorney General Tenure
1 Roland Brown[2] 1964–1965
2 Mark Bomani[3] 1965–1976
3 Joseph Warioba[4] 1976–1985
4 Damian Lubuva[5] 1985–1993
5 Andrew Chenge 1993–2005
6 Johnson Mwanyika 2005–2009
7 Frederick Werema 2009–2014
8 George Masaju Incumbent