ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi,
Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.. Kila
anayeingia maishani mwako ana Syllabus mkononi mwake, Every
topic anayokufundisha ichukulie serious huwezi jua mtihani wako
utatungwa kwenye Topic ipi..Usipojifunza lolote kutoka
kwenye Relationships ulizopitia utaendelea kufeli daima. Usijali
kuhusu listi ya Wanaume au Wanawake wangapi wametia
Signature kwenye moyo wako, ila nini umejifunza kwao, The
List doesnt matter....Usione Waumini 100 wamesimama
kwenda kutoa Sadaka Mchungaji ukachekelea bingo,wanaweza
kuweka jero jero tu,ila wanaweza kusimama Waumini
10 tu matajiri wakatoa Laki-Laki na kapu likajaa...Numbers doesnt
count when it comes to Love,kuwa na listi lakini ikufunze!
Ukiogopa kuumia kwenye Mapenzi hutajifunza kitu ata siku....
kuachwa kuachwa,
kuachwa kuachwa ni shughuli pevu,
mbaya zaidi kwa yule uliempenda yeye ananenepa wewe unakonda..x2 mambo ya josee mara..