ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,889
- 60,928
kwa hiyo mkuu miaka 20 ijayo 50% wafuatao watakuwa wamekufaUS Life expectancy ni miaka 79, Tanzania ni miaka 67.
Nilidhani Tanzania "fotee"!US Life expectancy ni miaka 79, Tanzania ni miaka 67.
Vengu mbishi sana kakomaa kagoma kufa. Kina Mpoki, Masanja na Joti wamejaribu kumtoa kafara mwamba kagoma kabisa kufa.Kuna watu duniani ambao ni kama walikuwapo kabla yako kuzaliwa, upo nao mpaka leo, halafu unajiuliza hawa watu wanaishi maisha gani? Unaweza kuzaliwa ukawakuta kina George W. Bush, Bill Gates, Vladimir Putin, bado wanaonekana kwenye habari, mikutano, interviews na dunia inaendelea kuwazungumzia.
Mpaka wakati mwingine unafanya masihara ukisema “hawa watu hawafi?” kwa sababu miaka inaenda lakini bado wapo kwenye mfumo wa dunia. Wewe unazeeka, wengine wanaondoka, viongozi wanabadilika, trend zinabadilika, lakini kuna majina yanaendelea kuwepo tu.
Inaonyesha jinsi gani nguvu ya fedha, afya bora, teknolojia, ulinzi, na mifumo ya mataifa makubwa vinavyoweza kufanya baadhi ya watu waonekane kama sehemu ya kudumu ya dunia. Watu hawa wana access ya hospitali bora, maisha yenye uangalizi mkubwa, lishe, security, na mazingira tofauti kabisa na watu wengi duniani.
Na wakati mwingine unaweza hata kufikiria:
“Huenda nikafa mimi kwanza kabla ya hawa watu niliowakuta tangu utoto
uko sahihi 100 kwa 100 gentleman 🐒Kuna watu duniani ambao ni kama walikuwapo kabla yako kuzaliwa, upo nao mpaka leo, halafu unajiuliza hawa watu wanaishi maisha gani? Unaweza kuzaliwa ukawakuta kina George W. Bush, Bill Gates, Vladimir Putin, bado wanaonekana kwenye habari, mikutano, interviews na dunia inaendelea kuwazungumzia.
Mpaka wakati mwingine unafanya masihara ukisema “hawa watu hawafi?” kwa sababu miaka inaenda lakini bado wapo kwenye mfumo wa dunia. Wewe unazeeka, wengine wanaondoka, viongozi wanabadilika, trend zinabadilika, lakini kuna majina yanaendelea kuwepo tu.
Inaonyesha jinsi gani nguvu ya fedha, afya bora, teknolojia, ulinzi, na mifumo ya mataifa makubwa vinavyoweza kufanya baadhi ya watu waonekane kama sehemu ya kudumu ya dunia. Watu hawa wana access ya hospitali bora, maisha yenye uangalizi mkubwa, lishe, security, na mazingira tofauti kabisa na watu wengi duniani.
Na wakati mwingine unaweza hata kufikiria:
“Huenda nikafa mimi kwanza kabla ya hawa watu niliowakuta tangu utoto
Na yeye anashinda kwenye visungura kila siku hakuna mazoezi na kina mwajuma wana mpiga vibomuWatu wanagonga 96 huko utaachaje kuwakuta na kuwaacha?
Zingatia neno "wastani",kwa hiyo mkuu miaka 20 ijayo 50% wafuatao watakuwa wamekufa
Donald Trump
Vladimir Putin
Xi Jinping
Narendra Modi
Recep Tayyip Erdoğan
Bill Clinton
George W. Bush
Barack Obama
Bill Gates
Warren Buffett
Jeff Bezos
Elon Musk
Tom Cruise
Leonardo DiCaprio
Denzel Washington
Morgan Freeman
Sylvester Stallone
Arnold Schwarzenegger
Jackie Chan
Madonna
Beyoncé
Jay-Z
Dr. Dre
Snoop Dogg
Eminem
Paul McCartney
Mick Jagger
Tanzania kwa hawa vijana wa sasa, hata kukatiza 55 ni mbinde, hapo utaona kuna wengi wamezaliwa wakawakuta akina Bush, Bill Gates, King Charles, Putin etc na wakawaacha pia.US Life expectancy ni miaka 79, Tanzania ni miaka 67.
Na yeye anashinda kwenye visungura kila siku hakuna mazoezi na kina mwajuma wana mpiga vibomu
Mleta mada ulichoandika ni kama unamtazama baba yako huku unajiuliza huyu alikuwepo na bado anaishi na naweza kumuacha. Nakukumbusha wapo watoto wengi waliowaacha wazazi wao hata babu/bibi zao duniani. Sadly.Kuna watu duniani ambao ni kama walikuwapo kabla yako kuzaliwa, upo nao mpaka leo, halafu unajiuliza hawa watu wanaishi maisha gani? Unaweza kuzaliwa ukawakuta kina George W. Bush, Bill Gates, Vladimir Putin, bado wanaonekana kwenye habari, mikutano, interviews na dunia inaendelea kuwazungumzia.
Mpaka wakati mwingine unafanya masihara ukisema “hawa watu hawafi?” kwa sababu miaka inaenda lakini bado wapo kwenye mfumo wa dunia. Wewe unazeeka, wengine wanaondoka, viongozi wanabadilika, trend zinabadilika, lakini kuna majina yanaendelea kuwepo tu.
Inaonyesha jinsi gani nguvu ya fedha, afya bora, teknolojia, ulinzi, na mifumo ya mataifa makubwa vinavyoweza kufanya baadhi ya watu waonekane kama sehemu ya kudumu ya dunia. Watu hawa wana access ya hospitali bora, maisha yenye uangalizi mkubwa, lishe, security, na mazingira tofauti kabisa na watu wengi duniani.
Na wakati mwingine unaweza hata kufikiria:
“Huenda nikafa mimi kwanza kabla ya hawa watu niliowakuta tangu utoto
Kama walimu unakuta kafundisha wazazi, watoto na bado anadundaUnazungumzia watu maarfu by the way
kuna padri alimpa komunio bi mkubwa
akanipa mm
amempa mtoto wangu
na bado yupo Safi