Habari wadada zangu napenda niwape somo kidogo mpe mumeo au mpenzi wako mambo haya 3
1 muheshimu na umjali mfn kumpokea akirudi job kumvua viatu kumlisha jitahid saana mara nyingi ule chakula na mumeo hasa usiku mpikie atakacho msizoee kula kwa mama ntilie au chips pia jali marafiki zake na ndugu zake
2 muweke wazi unachopenda akufayie na pia uwe unamuweka smat hata kumpangia nguo za kuvaa kumuogesha kumpunguza ndevu na kumnyoa nywele sehemu za siri na kwapani
3 mume hurogwa na kitanda japo kila shimo na utamu wake hangaika dada usiwe gogo ikiwa raha nyingi unapata ww muambie unachotaka mpe kila kitu kasoro tigo tu naamin kwa hayo ebu fafanua kichwani mwako kisha fanya ukiachwa nitakuoa mimi
Tanga Raha
By Abuuabdillah
Umwinyi MTU hadi viatu uvuliweLini wanaume mmeanza kutoa elimu ya kitchen party au ndio mambo ya haki sawa.
Anivue viatu kwani mimi siwezi kujivua! Huo ni utumwa na binafsi sipendezwi nao pamoja na kufuliwa, kupikiwa na mambo mengine kibao. Naamini katika kujifanyia ninayoweza kufanya na kusaidiana. Sio kila mwanaume ana mtazamo wako
msubilie anakuja akunyo....lakuvundaNikipata mwanamke wa namna hii simuachi ng'oo
[emoji125] [emoji124] wahi twende gulionUmwinyi MTU hadi viatu uvuliwe
Nikipata mwanamke wa namna hii simuachi ng'oo
yote naweza isipokuwa namba 3Wanawake wa siku hizi wa mwendo Kasi ni vigumu kufanya japo moja Ya ulioyataja
Mmmmmhh sikuhizi makungwi wamekuwa wengi, japo wengine sio wakike, nadhani wamekuelewa
I see your increasing number of years in your father's compound.yote naweza isipokuwa namba 3
Mnanichekesha hahaaaaaUonywe mara ngp na huelewi. [emoji23] [emoji23]
Mume hatuliziki, hakuna la maana hata mojaHabari wadada zangu,
Napenda niwape somo kidogo mpe mumeo au mpenzi wako mambo haya 3;
1. Muheshimu na umjali mfano kumpokea akirudi job kumvua viatu kumlisha jitahidi sana mara nyingi ule chakula na mumeo hasa usiku mpikie atakacho msizoee kula kwa mama ntilie au chips pia jali marafiki zake na ndugu zake.
2 Muweke wazi unachopenda akufanyie na pia uwe unamuweka smat hata kumpangia nguo za kuvaa kumuogesha kumpunguza ndevu na kumnyoa nywele sehemu za siri na kwapani.
3. Mume hurogwa na kitanda japo kila shimo na utamu wake hangaika dada usiwe gogo ikiwa raha nyingi unapata wewe muambie unachotaka mpe kila kitu kasoro tigo tu naamini kwa hayo ebu fafanua kichwani mwako kisha fanya ukiachwa nitakuoa mimi.
Tanga Raha
By Abuuabdillah